N Ndinani Platinum Member Joined Aug 29, 2010 Posts 7,812 Reaction score 4,833 Sep 1, 2012 #21 sweetlady said: Mh.........labda ntajaribu lol Click to expand... Utajaribu kula MAPUMBU?
Siri Sirini JF-Expert Member Joined Mar 12, 2012 Posts 547 Reaction score 199 Sep 1, 2012 #22 Yaani mbuzi mzee umenikumbusha mbali "ASHUA", Tandika 2likuwa 2nazila balaa, nitamu sana, Mtundu Kisu unaweza lishwa bila kujua, kwa jinc zilivyotamu hata ukiambiwa ni nini utasema tu niongezee nyingine.
Yaani mbuzi mzee umenikumbusha mbali "ASHUA", Tandika 2likuwa 2nazila balaa, nitamu sana, Mtundu Kisu unaweza lishwa bila kujua, kwa jinc zilivyotamu hata ukiambiwa ni nini utasema tu niongezee nyingine.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,234 Sep 1, 2012 #23 Nyani Ngabu said: Ile damu inaitwa kibhulanga....(nadhani huko Kaskazini ndo inaitwa kisusio) Click to expand... Ha ha ha, ndio hiyo hiyo lol Inachanganywa na maini kidogo, basi ni kula tu Ndahani said: teh teh teh...watu wa kileo tumezidi uthungu...kila kitu kinaonekana buchani tu.Hatusogei machinjioni Click to expand... Watoto wa sasa hawajui hata mti wa mahindi.
Nyani Ngabu said: Ile damu inaitwa kibhulanga....(nadhani huko Kaskazini ndo inaitwa kisusio) Click to expand... Ha ha ha, ndio hiyo hiyo lol Inachanganywa na maini kidogo, basi ni kula tu Ndahani said: teh teh teh...watu wa kileo tumezidi uthungu...kila kitu kinaonekana buchani tu.Hatusogei machinjioni Click to expand... Watoto wa sasa hawajui hata mti wa mahindi.
tatanyengo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2011 Posts 1,133 Reaction score 282 Sep 1, 2012 #24 Amaihwa a.ka amaneghe. Matamu sana mura. Umenikumbusha enzi za kuhasi madume ya ng'ombe au mbuzi ili kuyafanya madume ya kweli.
Amaihwa a.ka amaneghe. Matamu sana mura. Umenikumbusha enzi za kuhasi madume ya ng'ombe au mbuzi ili kuyafanya madume ya kweli.