Can you date a guy without asking him for Money?

Binafsi yangu siwezi kuomba hela kwa mwanaume/mpenzi hata niwe na shida vipi.
Mwanaume anayetegemea nitamuomba hela,atasubiri Sana..
Labda anipe tu mwenyewe.
Bibie umeolewa ? Kama hujaolewa naomba nikuoe nifunge mahesabu, uwe mke wa nne(4).
 
Msimamo wangu uko pale pale kuwa siku hizi hakuna mapenzi ya kweli. Kama ambavyo wanaume huwa mnaangalia sura na matako kwa wanawake (utadhani wamejiumba) basi acheni na wanawake waangalie pesa na vingine wanavyovijua wao kwa wanaume maana vyote hivyo siyo vigezo vya mtu kuwa mke mwema wala mume mwema.
 
Waulize wakiomba picha. Ukituma selfie anataka picha full.
Unamuuliza unataka uone nini? Kumbe anataka aone tako.
 
Haya mambo ya kusema ataenda kujibu kwa Mungu unajuaje labda atakuja kutubu kabla hajafa hivyo atasamehewa. Mimi kwa kweli kabla hajafika kwa Mungu lazima nimnyooshepo kidogo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumwachia kila kitu Mungu ni uzembe, kwani akili alikupa za kuvukia barabara tu?
 
Mapenzi ya kweli yapo sana sema tuyafurahie si kutuendesha kama gari bovu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…