Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,117
- 9,289
Kwahio na hizi text ninazoandika hapa jf au whatsapp wanaweza kuzisoma??Answer:
No,
because government surveillance (tracking your phone location and tapping your calls, messages and internet traffic) is done at cellular network level, not on your phone.
If you don’t want to be tracked through your phone, or your calls being tapped (who you call, when you call, how frequently you call and the content of your calls) then you better use a phone that does not use the cellular networks.
text za kawaida wanasoma yaani hizi za tigo, voda etc ila whatsapp hawawezi sababu ni end to end encrypted!Kwahio na hizi text ninazoandika hapa jf au whatsapp wanaweza kuzisoma??
Txt za kawaida sijawahi hata kuandika jina magutext za kawaida wanasoma yaani hizi za tigo, voda etc ila whatsapp hawawezi sababu ni end to end encrypted!
Hahahahahah basi uko "safe" text za kawaida ni hatari sana yaani watu wakiamu a kukufuatilia unadakwa kama kuku!Txt za kawaida sijawahi hata kuandika jina magu
Au kuandika sentensi yotote yenye neno vyuma ndani yake[emoji23]
text za kawaida wanasoma yaani hizi za tigo, voda etc ila whatsapp hawawezi sababu ni end to end encrypted!
Kwahio mkuu wewe huoni umuhimu wa privacy??Kwani unaficha nini mpaka uogope ?,kama huna cha kuficha huna sababu ya kuogopa kusomewa sms
Acha kupoteza watu, kwa taarifa yako hao jamaa wako vizuri, kuna maneno wameweka kwenye database yao, yaani ukiliweka tu kny meseji, lazima waisomeUnajua inahitaji investment kubwa sana kwa establishment kuweza kucapture na kusoma message zote,na pia mawasiliano yote?,
yaani hata mchina hawezi,only National security agency ya marekani ndo inaserver za kuweza kunasa email,message ama calls zote na wana mahekali na mahekali ya server.
Kwa nchi kama zetu wanaweza tu kutarget personal of interest,
yaani kama wako interested na wewe ndo watakufanyia hayo na sio kwamba kila mtu kila message inapitia jicho la hao wanaokagua.
Kwa nchi kama marekani njia pekee ya kukwepa ni kutumia email