Kiranga,
Ni mara ngapi umesikia wapinzani wakiitisha tuwe na katiba mpya? Majibu ya CCM yamekuwa ya jeuri kwa sababu wanajua kuwa wana monopoly bungeni. Ni mara ngapi masuala ya kitaifa yanapoletwa bungeni unasikia wabunge wa CCM wakiitwa kuwekwa sawa? Ni mpaka hapo jeuri ya CCM itakapovunjwa ndipo tutaweza kuwa na level playing field. Tuwape wapinzani moyo kwa kujitosa uwanjani ingawa tunajua playing field si level badala ya kukaaa nje tu na kulalamika. Hopefully baada ya uchaguzi wa 2010 monopoly ya CCM itakuwa kwishne.