Elections 2010 Campaign ads


pia iwepo ambayo mtu anaweza kudownload na kushare na wengine kupitia simu na laptop, si unajua sio wote wana-access na internet na hata wenye access interest zao wengine ni ndogo kwenye kutafuta vitu kama hivyo ila ikiwa kwenye simu simple watu inakuwa ringtone!
 
Ngabu
Sidhani kama watakosa matangazo, ila dubwasha limeshachukua almost mitaa yote jijini kwa matangazo yao, unadhani CHADEMA wataonekana kweli bila hata billboard moja?

Hiyo midubwana mitaa wachukue roho zetu watuachie. Tumeshayaweka rohoni
 
msifikirie kimarekani sana, fikirieni hali halisi ya bongo

swali la kujiuliza je chadema budget yake ni kiasi gani????

ccm budget yake ni 50bn. magari, pikipiki na mabango viko ndani ya uwezo wao

chadema budget yao ni 5bn, not sure. kama mnategemea kuona mabango kama ya ccm mtakuwa dissapointed, chadema simply cant afford.
budget ya chadema inawatosha kufanya mikutano ya hadhara na si matangazo. kinachoitajika ni wao kuandikwa sana na magazeti na kupata media coverage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…