Cameroon: Watu 9 wafariki baada ya kijana kulipua bomu alilodhani ni kipande cha chuma

The Sheriff

JF-Expert Member
Oct 10, 2019
617
1,800
external-content.duckduckgo.com.jpg

Watu tisa wamekufa na wengine 30 wamejeruhiwa katika mlipuko katika mji wa Fotokol kwenye mpaka wa Cameroon na Nigeria.

"Kijana alichukua kifaa cha kulipuka akidhani ni kipande cha chuma na kililipuka, na kumuua yeye na watu wengine wanane" alisema Midjiyawa Bakari, gavana wa eneo hilo.

Gavana huyo alisema maafisa wanachunguza chimbuko la kifaa hicho cha kulipuka, lakini bila shaka ni kutoka kwa wanajeshi wanaopigana na waasi wa Boko Haram katika mkoa huo au kutoka kwa Boko Haram wenyewe.

Mapigano kamili hayajaripotiwa hivi karibuni kati ya wanajeshi na Boko Haram katika eneo hilo, lakini maafisa wameonya juu ya uwepo wa mabomu ya ardhini na silaha zilizotelekezwa au kupotea.

=================

At least nine people have died and 30 others have been wounded in an explosion in the Cameroonian town of Fotokol on the northern border with Nigeria, a local official said.

“A young man picked up an explosive device thinking that it was a piece of iron and it exploded, killing him and eight others” said Midjiyawa Bakari, the governor of Cameroon’s Far North region.

Bakari said officials are investigating the origins of the explosive device, but it is certainly either from the military fighting Boko Haram extremists in the region or from the Islamic extremist group itself.

Full-scale battles have not been reported recently between the military and Boko Haram in the area, but officials have warned of the presence of landmines and abandoned or missing weapons.

Boko Haram’s decade-long insurgency began in northeastern Nigeria and has spilled across borders into Cameroon, as well as Niger and Chad. The group has killed tens of thousands of people, displaced millions and created one of the world’s largest humanitarian crises.

In recent years some fighters have pledged allegiance to the Islamic State group, creating a new threat.


Chanzo: AP
 
Kila mtu ana namna yake ya kuondoka kama kila mtu alivyokuja kwa namna yake on this planet earth.
 
Back
Top Bottom