Cameroon footballers embrace Islam

Cameroon footballers embrace Islam

Status
Not open for further replies.

mzenjiboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
907
Reaction score
387
Timu ya mpira inayojumuisha vijana masikini, mayatima na wasiokuwa na makwao kutoka Cameroon wamesilimu pamoja na kocha wao na priest mmoja aliyekuwemo kwenye kikundi hicho huko Dubai.

Ni vijana wawili tu kati ya 25 hayajaamua na wanafikiria zaidi.

Hii imekuja baada ya timu hiyo kuwepo Dubai kwa mazowezi kwa muda wa miezi miwili.
1406271632.jpg

A football team from Cameroon, including the coach and female priest, has embraced Islam after attending a training camp in Dubai

A football team from Cameroon, including the coach and female priest, has embraced Islam after attending a training camp in Dubai, officials said.

The team from the African country represents a football academy for the homeless, orphans and impoverished youth.

Its members embraced Islam at the Islamic Affairs and Charitable Activities Department in Dubai (IACAD) recently.
IACAD said the team embraced the Muslim faith "because of the peace and serenity they felt in Islam and the good treatment and kindness they have had from locals".

IACAD Director-General Dr Hamad Al Shaibani added: "The department has witnessed a lot of cases of visitors and residents from different nationalities embracing Islam and most of them attribute this to the tolerance and humane values and principles of Islam and the kindness they have received from Muslims.

The department organises several programmes and events for non-Muslims and new Muslims to introduce them to "the authentic moderate message of Islam as a religion for all humanity".

These programmes and events are held in different places to reach different groups of people, such as schools, shopping centres and cultural clubs.

IACAD also supervises 17 Islamic centres and 38 Quran memorisation centres.

Source: gulfnews

http://gulfnews.com/news/gulf/uae/general/cameroon-footballers-embrace-islam-1.1385356
 
inawezekana wameahidiwa kuishi huko na kupata kazi kama mwenye tamaa ya Mali kuliko imani jackline wolper alivyodanganyika then akanyan'ganya BMW X6 na kurudi kwenye imani yake, umaskini unawaponza wengi
 
huko kwao hapakuwa na uislam? pesa pesa pesa pesa!! sabuni ya roho...
 
Kwa dini yetu hawaruhusiwi tena kubadlisha tena hyo ndio adi kiama,WOLPER ana bahati waislam wanapenda movies zake ndio maana wamemwachia lakn adhabu yake ilikuwa kutoa kchwa chake,ss hao ngoja wajitusu kubadlisha tena kama hatukuondoka na vchwa vyao
 
chezea wacameroon na wanageria kwenye kutafuta pesa wako tayari kufanya lolote ili wapesa.Mbona kuna Wazanzibar wamebadirisha wamekuwa wakristo na Bible wanabeb kila jumapili kwenda church ili wakae kama refugees kwa madai wakirudi Zenji watauliwa..
Hivyo ni vijimambo tu kwenye kutafuta
 
Dubai: A football team from Cameroon, including the coach and female priest, has embraced Islam after attending a training camp in Dubai, officials said.
The team from the African country represents a football academy for the homeless, orphans and impoverished youth.
Its members embraced Islam at the Islamic Affairs and Charitable Activities Department in Dubai (IACAD) recently.
IACAD said the team embraced the Muslim faith “because of the peace and serenity they felt in Islam and the good treatment and kindness they have had from locals”.
IACAD Director-General Dr Hamad Al Shaibani added: “The department has witnessed a lot of cases of visitors and residents from different nationalities embracing Islam and most of them attribute this to the tolerance and humane values and principles of Islam and the kindness they have received from Muslims.”
The department organises several programmes and events for non-Muslims and new Muslims to introduce them to “the authentic moderate message of Islam as a religion for all humanity”
These programmes and events are held in different places to reach different groups of people, such as schools, shopping centres and cultural clubs.
IACAD also supervises 17 Islamic centres and 38 Quran memorisation centres.

Souce:
Cameroon footballers embrace Islam | GulfNews.com
 

Attachments

  • 1411103256024.jpg
    1411103256024.jpg
    69.6 KB · Views: 288
Hawa hawakujali zile fitna za Western media zinazochafua Na kupaka matope UISLAMU.

Amma kweli kwenye Ukweli Uongo HUJITENGA.
 
Maa Shaa Allaah...
Allaah awaongoze waufaham vyema uislam wao, wafanze amali swaaleh, na iwe asbaab ya wao kuridhiwa na kuwa radhi na Mola wao.
 
Wanataka misaada tu hao,wanataka kuwapiga waarabu pesa zao za mafuta.Wakirudi younde break ya kwanza kwa paroko kuungama,then wanaingia mtaani kumtafuna mdudu,anayebisha tuzidi kuifatilia safari yao fupi ya hawa jamaa ndani ya uislamu wakirudi kwao
 
ushasema orphan,hao watakula hela zao mpaka basi hakuna kingine
 
Wanataka misaada tu hao,wanataka kuwapiga waarabu pesa zao za mafuta.Wakirudi younde break ya kwanza kwa paroko kuungama,then wanaingia mtaani kumtafuna mdudu,anayebisha tuzidi kuifatilia safari yao fupi ya hawa jamaa ndani ya uislamu wakirudi kwao

Mkuu Hata wewe unakaribishwa kwenye Uislamu tu.

Usiwaonee wivu ndugu zako.
Njoo ktk Faida, njoo ktk Haki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom