mkuu sina hakika kama bongo zimeingia, ila nimeona ni moja ya simu nzuri sana, na huwei wamejitahidi sana, ukiangalia bei pia siyo mbaya sana. na wana nyingine inaitwa ascend Mate nayo inafanya vizuri kwenye properties zake. Ingawa mkuu chief-mkwawa anaweza leta maelezo ya kitaalam juu ya os zake.
SP