G M S JF-Expert Member Joined Mar 30, 2011 Posts 502 Reaction score 53 Nov 24, 2011 #1 Wadau naomba msaada wa khs camera ya laptop aina ya Dell 630 naona data zake tu ila sehemu ya kufungua niitumie hii camera siipati!
Wadau naomba msaada wa khs camera ya laptop aina ya Dell 630 naona data zake tu ila sehemu ya kufungua niitumie hii camera siipati!
Gurta JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 2,233 Reaction score 537 Nov 24, 2011 #2 Kuna ka-app unakotakiwa kukapakua kutoka dell.com, fanya hivyo