CAMERA CANON 6D INAUZWA

CAMERA CANON 6D INAUZWA

babu sugu

Senior Member
Joined
Nov 9, 2018
Posts
191
Reaction score
86
INAUZWA
Canon 6D
Condition | used like New
Location | ubungo

*Haijawahi kutumika*

Bei milioni 2.5



IMAG0046.jpeg
IMAG0048.jpeg
IMAG0040.jpeg
IMAG0038.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wanaojua Camera hiyo ni bei chee hizi huwa zinauzwa mpaka USD 2500+ sio za kupigia selfie, hiyo ni kama camera ni kitendea kazi chako kinachokuingizia kipato cha kila siku
 
Kwa wanaojua Camera hiyo ni bei chee hizi huwa zinauzwa mpaka USD 2500+ sio za kupigia selfie, hiyo ni kama camera ni kitendea kazi chako kinachokuingizia kipato cha kila siku
Mkuu nipe ubora wa hii Cam
 
Mkuu nipe ubora wa hii Cam
Mkuu hizo ndio jamii ya zile wanaita DSLR natumaini utakuwa unazifahamu lakini navyosikia sensor yake in uwezo mkubwa wa kukamata picha katika hali mbali mbali (gizani mpaka mchana), inategemea ni lens gani uliyonayo na hizi unaweza kufanya mabadiliko ya lens lakini kiufupi ukiwa na lens nzuri unaweza kufanya zoom umbali mrefu sana bila kupoteza quality ya picha. Kuna mtu aliwahi kuniagizia lens ya Camera kama hii kwa euro 500 (binafsi sikuelewa kwa nini alitoa hela yote mpaka siku nilivyoona picha alizopiga).
Vile vile unaweza kufanya attachment ya vitu kama flash etc. Kuboresha picha zako. Kuna technical specs ambazo wapiga picha wenyewe huwa wanaangalia zote zipo kwenye link hapo chini

Canon EOS 6D Specifications

Binafsi sifahamu sana haya mambo ya kupiga picha lakini kutokana na majukumu yangu nimezungukwa sana na watu walioko kwenye fani hiyo na hiyo ni mojawapo ya Camera ambayo nimekuwa nikisikia ikitajwa tajwa, kwangu mimi nikiwa na simu tu kama hizi Google Pixel 3 etc inanitosha, niliwahi kujaribu hizi camera kubwa nikatoa tu picha mbaya, zinahitaji muda wa kusoma kwanza ni setting gani utumie ili utoe picha nzuri na sikuwahi kupata huo muda. Ndio maana nikasema kwa mtu wa kawaida kununua camera kama hiyo ni kama kupoteza hela, labda uitumie Kama kitendea kazi chako.
 
Vizuri brooo. Mm huwa napenda sana Filming. Napenda kama hobby. Nipo tayari hata ni nunue hii nifanye vitu vyangu.

Pia nimeona hizi camera kama kuna Mark I na mark II hizi zipo vip??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom