Ni camera ipi ya ku download ambayo inatoa picha vizur zaidi ya ile ya 360 ultimate?
Kaka kama camera ya simu (hardware) sio nzuri basi hata udownload app gani pic hazitatoka vizuri.
Jaribu hizi
-camu (bure)
-google camera (bure)
-ig camera pro
-camera zoom fx
-camera fv-5
-perfectly clear
-camera awesome
-vignette
-pro capture
Mkuu na photo editor ya kung'arisha picha ni ipi?
Mkuu na photo editor ya kung'arisha picha ni ipi?
Beauty plus na cyamera dwnload hizo n hatareeeee