Juzi waliniletea Ni update simu yangu nimekuwa nikifanya hivyo kila update mpya ya iOs Inapotoka
Sasa Juzi baada ya Ku update simu yangu,Nimekuwa napata tatizo la CALL VOLUME,Inakuwa Low Sanaa Kiasi kwamba Nahitaji Earphone Au kuweka Loud Speaker ili kuelewana Na Ninae Ongea Nae
Msaada Tafadhari nifanyaje? kufix hili tatizo
Cc:Chief Mkwawa