Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
Mkuu,
They have got us by the balls...we cant breathe!
It don't make any sense.. katika Taifa zima hakuna mtu ana ujasiri wa kusema "they lied to us, we will seize the turbines" liwe fundisho kwa wawekezaji wengine. Don't come to us under false pretense, lie to us, take us for a ride.. and then expect us to buy the same shyt!
Hakuna Rais, Waziri au mwanasiasa mwenye kuthubutu kusema hivyo. Now I really like Nyerere and Chavez!! Long live the Revolution!! Tunatetemeka hata kwenye nchi yetu. Tunaogopa kuonekana wabaguzi kwa kuita ukweli ukweli.
c'mmon people.. kama kweli tunaihitaji mitambo hiyo serikali imuombe al-adawi aitoe bure kama mchango kwa nchi yake pia! Hapo hata mimi nitamshukuru!
Yaani, tunalazimishwa tukubali kuibiwa..!
Naomba niulize,
Hivi hakuna wadau wanaoweza kuandaa maandamano ya kushinikiza ngeleja, rashid wajiuzuru?
Nakumbuka mwaka fulani Nigeria wananchi walichoma moto nyumba ya meneja wa shirika la umeme baada ya umeme kukatika wakati wa world cup, je tufanyeje hapa kwetu na haya masaibu?
Naomba niulize,
Hivi hakuna wadau wanaoweza kuandaa maandamano ya kushinikiza ngeleja, rashid wajiuzuru?
Nakumbuka mwaka fulani Nigeria wananchi walichoma moto nyumba ya meneja wa shirika la umeme baada ya umeme kukatika wakati wa world cup, je tufanyeje hapa kwetu na haya masaibu?
Unapowafuata mafisadi wakufadhili kwenye uchaguzi what do you expect? Ndio maana nasema they have got us by the balls sababu ndio hao wamefadhili wazee kuwepo madarakani...katika mazingira hayo utawafanya nini?
Ni lazma kuitaifisha, na vile vile in the process ya kuitaifisha inabidi kuweka mkakati wa publicity campaign ulimwengu mzima kuonyesha mitambo inataifishwa kwa sababu ya kukiuka process na kutupa hasara. Na kuwathibitishia investors wowote kwamba kama tukipata mfadhili wamaana, anakaribishwa kuchangamkia hiyo tenda kwakufwata a clean and fair process, ambayo haina urasimu usio na maana. Ni kitu kinachoweza kueleweka. Kilakitu lazma kiende kwampangilio. Sio kwamba lazma tukurupuke tu. Tujaribu vile vile kuwabana kisheria wahusika wote kwenye hii issue kusudi tuitaifishe mitambo with a cleak stroke. Mbona at the moment mabenki sasa hivi yanataifishwa kweupee na Serekali za magharibi kwa makosa yao yakuingiza nchi zao kwenye economic problems kwamakusudi.inawezekana wahusika hawafikii option ya kutaifisha kwasababu wanaogopa tz itapakwa matope kuwa 'inataifisha mali za wawekezaji'.
kwa maana hiyo wawekezaji watakuwa hawaji tena - au watakuwa wanakuja kwa uchache
Sawa tunahitajia mitambo ya Dowans;
DON'T BUY THEM, SEIZE THEM KWANI WAMEWADANGANYA! Kwanini mnatetemeka kwenye option hii. Vinginevyo si huwa tunaomba misaada ya kigeni, mwombeni Al-Adawi aitoe kama hisani kwa Tanzania. Vinginevyo waombeni wajomba zetu wanunue msitumie fedha za Watanzania.
Yote yanayoendelea hapa ni kutaka tununue tu? Why why why? Kwanini tuyanunue;wakati tunajua dowans haipo kisheria? Kwanini mmeng'ang'ani tuyanunue tu wakati kuna options za kuyataifisha baada ya kujua kuwa waliingia kwa uongo soma PPRA na sheria za kuhujumu uchumi..
why are you scared Mr. President; why are you tetemekaling Mr. Ngeleja. YOU WANT DOWANS' TURBINES? GO GET 'EM!
Mtamaliza huu mjadala. Lakini.. ooh no! we have TO BUY THEM!
Najua rafiki yenu naye kawakomalia, mlimuahidi mtanunua sasa imekuwa ngondo mwaanza kufunga milango. Kwanini msiamue kununua kutoka katika fedha zenu mifukoni mwenu kuonesha huo uzalendo wenu?
Kwanini mnaiogopa Dowans? Hamtaki kuizungumzia kampuni mmebakia kuzungumzia majenereta; hamtaki kuzungumza nwa GE, Siemens, Kawasaki n.k watengenezaji ambao wamewaambia tayari yapo majenereta ambayo yanaweza kuletwa nchini ndani ya mwaka huu na kuanza kazi tena kwa bei ya ushindani, mbona hamtangazi tenda.. mnataka Dowans Dowans Dowans
Hili mmlianzisha wenyewe, next time msilete marafiki zenu kwenye biashara mkiahidi kuwapa utajiri ambao na wenyewe watauzungusha kwenu!
NO DOWANS, FIND OTHER ALTERNATIVES.. HAMUWEZI KUJIZUIA.. THEN CONFISCATE THEM SHERIA IKO UPANDE WENU!
We mwanakijiji have you given any thought to the effect that will have on investor confidence. Seizing, even when sanctioned by legislation will create a sense of insecurity as to the concept of just and fair laws as applied in Tanzania. And should it be the case that they deserve it then another thing worries me. Hii serikali ikiaanza kutumia powers za kuseize mali za watu kama hivyo inaweza kuset a bad precedence that will lead to such measures on political battles between those in power and their opponents and supporters (Mikhail Khodorkovsky) remember what putin did to him.
Bora hilo giza kuliko kurudi kwenye mambo ya nyerere yakuuliza kila nyumba nzuri yanani..