Jamani nawasalimu! Kisha nawaombeni msaada.Kuna tangazo ktk website ya UDOM (university of dodoma) lina title kama hiyo hapo juu.Mimi nimeshindwa kulisoma kwani natumia mobile device ambayo hai-suport pdf files.
Hivyo naomba mnisaidie kuweka hapa katika format ya html.Ili niweze kuona majina ya walioitwa.
Natanguliza shukrani.