farisayo
Member
- Apr 18, 2013
- 9
- 2
Kwa kweli sijawaelewa hawa ndugu zetu wamezingatia vigezo gani kuwapitisha watu kwenye interview baada ya aptitude test, kwani kama wangekuwa wamezingatia ufaulu wa marks za juu hakika wengi wa hao walioitwa wasingepita. Mfano mzur mimi nimepata marks 65.5 sijaitwa kwenye interview yao ila kuna watu kibao wamepata alama 50 wameitwa kwenye interview labda wadau kwa mwenye ufaham atujuze sijawaelewa mimi hawa jamaa kabisa.
Nimejaribu kuattach na matokeo ya aptitude test na walioitwa kwenye interview ili tueleweshane vizur zaid jamaaani
Nimejaribu kuattach na matokeo ya aptitude test na walioitwa kwenye interview ili tueleweshane vizur zaid jamaaani