Nenda ajira.go.tzMbona haifunguki hii mkuu?
haha...jamaa atakua mtaalamu sana...Kwenye list ya ICT OFFICER jina la VENANCE
WINFRIED
HAULE wamerudia zaidi ya mara 500
Kwenye list ya ICT OFFICER jina la VENANCE
WINFRIED
HAULE wamerudia zaidi ya mara 500
Mojawapo ni kurudia hilo jina la huyo jamaa nlomtaja hapoWameliondoa tangazo, kutakua kuna shida
Jamaa itabidi ahudhurie Oral Interview moja kwa moja 😂😂 sio kwa kurudiwa hivyoKwenye list ya ICT OFFICER jina la VENANCE
WINFRIED
HAULE wamerudia zaidi ya mara 500
tume update tayar, kuliluwa na makosa ya matumizi ya kimfumo..Kwenye list ya ICT OFFICER jina la VENANCE
WINFRIED
HAULE wamerudia zaidi ya mara 500
Hivi inakuaje kama una Vigezo vyoote katika nafasi husika ulioomba na hukutajwa katika majina ya walioitwa kwenye usahili
Katika kazi za Serikali...?
huyo jamaa wasipompa kazi itakuwa maajabuKwenye list ya ICT OFFICER jina la VENANCE
WINFRIED
HAULE wamerudia zaidi ya mara 500
Yes. Kama nilivyo sema awali. Vigezo vyoote walivyo hitaji unavyo including experience.Aisee wanaangalia vigezo. Experience
Yes. Kama nilivyo sema awali. Vigezo vyoote walivyo hitaji unavyo including experience.
So...?
wanakosea nini kwenye cover letter boss,tuelekeze!Wengi ambao hawaitwi wanakosea kwenye cover letter
Wengi hutuma barua ambayo haijasainiwa,wanaweza wakawa hawajasema usign barua ila kwenye mchujo wanatumia kama kigezo cha kuchujawanakosea nini kwenye cover letter boss,tuelekeze!
Kada gani?Nafasi 2 shortlist ya watu 2000
Hii ni longlist[emoji3]
Umemaliza mwaka gani mkuu?Hivi inakuaje kama una Vigezo vyoote katika nafasi husika ulioomba na hukutajwa katika majina ya walioitwa kwenye usahili
Katika kazi za Serikali...?