Call for aptitude test immigration

MinMash

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
373
Reaction score
161
Wiki hii majina ya maassistant inspector of immigration yanakua released! stay tuned
 
tunashukuru mkuu ila isiwe kama kipindi kile kuwa yanakuwa released first may wakaja kutoa june
 
tmajuto is back naona anatafuta starter ya thread yake kuchangiwa sana !!! chanzo cha karibu kabisa cha ndani cha uhamiaji ishu ya assistant inspector zimehairishwa mpaka mwakani kutokana na ufinyu wa bajeti ya kuwalipa !! so kama vipi mawazo ta uhamiahi toeni kabisa vichwani mwenu kwa huu mwaka nawasilisha
 
neno la mgonjwa, haliaminiki kwa daktari!-- vipimo kwanza!
 
Last edited by a moderator:
nashukuru nimeingia kwenye record ya interview nchini... uwanja wa taifa ha ha!!1
 
mie siongei mengi make ni mtu wa Jikoni!!! haaaaaahaaaaaa mgonjwa mgonjwa tu mwacheni tu
 
Wakuumajina yametoka tayari ?

Ndio. Kuna mdau kisha yaweka.. Follow hii link hapa chini:

https://www.jamiiforums.com/nafasi-za-kazi-na-tenda/669304-afisa-mkaguzi-msaidiziiii-hiii-hapaaaa.html#post9713244
 

mgonjwa... umetisha kiongozi.
Cc. Tmajuto
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…