CAG: TANESCO wananunua umeme Tsh 574 na wanauza Tsh 279, ndicho chanzo cha hasara

Hakuna hasara kwa sababu hawafanyi biashara.
 
Tulipie IPTL n.a. Aggreko kisa? Mbona siku hizi mabwawa hayakauki maji?
Mikataba mibovu tuliyoingia na makampuni haya ya kigeni ndiyo inatugharimu. Mwezi Desemba 2015 mkataba wa kuzalisha umeme uliwekwa saini kati ya TANESCO na kampuni ya Symbion. Mkataba huu ni wa miaka 15. Swali la kujiuliza hapa kwa nini mkataba huu uwe wa muda mrefu wakati tayari harakati za kuwa na vyanzo vizuri vya umeme ilikuwa ndo imeanza kukamilika? Tafakari.
 
Sasa mkataba wa symbion usipokuwa wa mda mrefu watu watakula wapi? Hiyo difference ya 500 na 274/= si ni shirika la umma hili serikali i subsidize kusaidia watu wake?
 
Kwa zama hizi huwezi kuuziwa umeme unit moja kwa senti tano dola,
kama sijakosea sh 500 ni approx ya senti 25 dola.
Inabidi tu watoe ruzuku,kwani kwa kipato cha mtanzania huwezi kumuuzia umeme unit moja kwa zaidi ya shs 500,biashara zitafungwa zote ama bei ya vitu ita skyrocket
 

nakibaya zaidi walimzunguka mh rais kwani wakati tanesco wanasain hata mawaziri walikuwa hawajateuliwa
 
The only solution ni kuwaachia wawekezaji waje kuwekeza katika energy sectors kama ilivyo mitandao ya simu na watuachie sisi watumiaji tuchague wapi tununue.
 
Eng. Mramba akapotezwa, sasa sijui pondamali anawaza nn hapo
yy yupo busy na symptoms badala ya causes
 

Bila hata kufuata taratibu..baraza la mawaziri halikuwepo...ni board ya Tanesco tu...unajiuliza kulikoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…