Jana wakati CAG akimkabidh iMhe.Rais ripoti ya Ukaguzi kwa mwaka 2015/16 alimweleza jinsi Shirika la Tanesco linavyopata hasara kwa kununua unit moja kwa Tshs. 500 na zaidi kidogo na Tanesco kuwauzia wateja kwa Tshs.274 kwa unit moja.
Mahesabu hayadanganyi na Mkurugenzi Mkuu wa zamani alipotaka kuongeza bei alipoteza kazi yake. Nauliza hiyo hasara inafidiwaje?.
Mahesabu hayadanganyi na Mkurugenzi Mkuu wa zamani alipotaka kuongeza bei alipoteza kazi yake. Nauliza hiyo hasara inafidiwaje?.