Inajulikana kwamba wameshakula yamini ya kutetea chochote hata kama ni cha kijinga!Subiri waje ndio utajua Tanzania tuna vilaza wengi Kama kina JINGALAO na washirika wake. Ila nina imani itafika time watakosa Cha kutetea na watapanda na ID mpya humu. Kwani kina LIZABONI yuko wapi siku hizi? Kaona Mambo si Mambo
Kwa hiyo wanashusha deni ili iwrje? Maana deni halifutiki isipokuwa kwa kulipa au kusamehewa na mkopeshaji. Tulisamehewa kwa baadhi ya madeni enzi za Mkapa ambako kulikuwa na uhusiano mzuri wa kuheshimiana kati ya wadai na mdaiwa.Anyway, hapo juu nimeongeza chumvi, ndimu, pilipili, kachumbari na mbilimbi kwa mbaaaaali manake nimesikia Dar kuna bonge la pupwe!!
CAG hajasema serikali imedanganya deni la taifa bali Serikali Yashusha Deni la Taifa!!
Hivi si ndo kudanganya kwenyewe huko; au?! Hebu msomeni CAG kwenye ripoti yake kisha ndipo nihukumiwe:
Hapo juu ni Ripoti Kuu (Serikali Kuu) ya CAG
inayopatikana Ukurasa wa 104 - 105.
Hapo utaona CAG anataja kiwango cha deni la taifa ambacho ni takribani Shilingi trilioni 4.6 ambacho serikali imekwepa ku-declare.
Mbaya zaidi, kati ya hizo, takribani Shilingi Trilioni 4.4 ni pesa za wavuja jasho... pesa za wafanyakazi! Pesa za wale wale wanaoamka alfajiri na kwenda kugombea madaladala ili wawahi kazini lakini serikali ni kama inasema "pesa zenu tumechukua na kuzitumia tumezitumia; lakini hamtudai!" Kisa?
CAG anaendelea:
Sasa kama huko sio KUDANGANYA kiwango halisi cha Deni la Taifa kumbe tuite nini?!
Yaani, nimekukopesha 1M na umezitumia lakini unaenda kwa demu wako unasema unadaiwa Laki 7 eti kisa tu, baada ya kukupa laki 3, nikasaini lakini chini ya sahihi yangu sikupiga mstari na kwahiyo hilo deni la laki 3 hulitambui... ebo!!
Wakati unazitumia hukuona mapungufu lakini katika kumwambia demu wako kwamba unadaiwa ndo unaona mapungufu!!
That said, kwa kutumia ripoti hiyo hiyo ya CAG kwamba:
Na kujumuisha taarifa kwamba:
Kwa taarifa hizo mbili, utaona kiwango SAHIHI cha Deni la Taifa ni Shilingi bilioni (46, 081.43 + 4, 588.39) = 50,669.82 ambalo ni takribani Shilingi Trilioni 51 na sio Shilingi Trilioni 46.
Aidha, ripoti hiyo hiyo ya CAG inasema GDP yetu ni Shilingi bilioni 106,867 na kwahiyo Deni la Taifa ni 47.4% ya Pato la Taifa na sio 41% kama tulivyokuwa tumeambiwa hapo awali!
Aidha, ikumbukwe kwamba, deni hilo ni hadi June 2017. Kwa maana nyingine, kuna uwezekano mkubwa sana kwamba hivi sasa kiwango cha deni halisi la taifa kimezidi nusu ya pato la taifa!
Wanataka tuwaone wana madeni yanayoweza kulipika wakati ukweli ni kwamba idara ya madeni ipo ICUKwa hiyo wanashusha deni ili iwrje? Maana deni halifutiki isipokuwa kwa kulipa au kusamehewa na mkopeshaji. Tulisamehewa kwa baadhi ya madeni enzi za Mkapa ambako kulikuwa na uhusiano mzuri wa kuheshimiana kati ya wadai na mdaiwa.
Hili la kushusha deni ni kujifanganya na hasa kwa madeni ya nje. Wana rekodi zao na itafikia muda tutahangaika kutafuta pa kukopa na hatutapapata.
Wewe mwenyewe Mkandahari ndio mchezo wako huo wa kubadilisha ID, na kufunga watu wasisome profile yako.Subiri waje ndio utajua Tanzania tuna vilaza wengi Kama kina JINGALAO na washirika wake. Ila nina imani itafika time watakosa Cha kutetea na watapanda na ID mpya humu. Kwani kina LIZABONI yuko wapi siku hizi? Kaona Mambo si Mambo
Yani INA maana jamaa anatupiga pesa matrilioni kwa mwaka....sasa hadi amalize miaka yake 30 si tutakuwa hatuna hata mia
Kweli tuliruka mkojo tukakanyaga mavi
Trilionis sio "kitu chepesi"hakuna pesa iliyopigwa ni mambo ya procedures tu yamekiukwa. Serikali ya magufuli haibi mtu kizembe watu wamekosa hoja ndie maana wanatafuta vitu vyepesi ili kuaminisha umma nchi inatafunwa.
Imetoka wapi hii tena ..........!!?"ofisi ya mdhibiti na mkaguzi mkuu yafutwa, shughuli zake kuhamishiwa hazina"
"kuanzia mwaka wa fedha 2017/2018 report itakuwa inakabidhiwa kwa Rais na kujadiliwa ndani ya vikao vya baraza la Mawaziri"
weka lichokiandika CAG watu asome wenyewe, siyo kuwawekea hisia zako!Anyway, hapo juu nimeongeza chumvi, ndimu, pilipili, kachumbari na mbilimbi kwa mbaaaaali manake nimesikia Dar kuna bonge la pupwe!!
CAG hajasema serikali imedanganya deni la taifa bali Serikali Yashusha Deni la Taifa!!
Hivi si ndo kudanganya kwenyewe huko; au?! Hebu msomeni CAG kwenye ripoti yake kisha ndipo nihukumiwe:
Hapo juu ni Ripoti Kuu (Serikali Kuu) ya CAG
inayopatikana Ukurasa wa 104 - 105.
Hapo utaona CAG anataja kiwango cha deni la taifa ambacho ni takribani Shilingi trilioni 4.6 ambacho serikali imekwepa ku-declare.
Mbaya zaidi, kati ya hizo, takribani Shilingi Trilioni 4.4 ni pesa za wavuja jasho... pesa za wafanyakazi! Pesa za wale wale wanaoamka alfajiri na kwenda kugombea madaladala ili wawahi kazini lakini serikali ni kama inasema "pesa zenu tumechukua na kuzitumia tumezitumia; lakini hamtudai!" Kisa?
CAG anaendelea:
Sasa kama huko sio KUDANGANYA kiwango halisi cha Deni la Taifa kumbe tuite nini?!
Yaani, nimekukopesha 1M na umezitumia lakini unaenda kwa demu wako unasema unadaiwa Laki 7 eti kisa tu, baada ya kukupa laki 3, nikasaini lakini chini ya sahihi yangu sikupiga mstari na kwahiyo hilo deni la laki 3 hulitambui... ebo!!
Wakati unazitumia hukuona mapungufu lakini katika kumwambia demu wako kwamba unadaiwa ndo unaona mapungufu!!
That said, kwa kutumia ripoti hiyo hiyo ya CAG kwamba:
Na kujumuisha taarifa kwamba:
Kwa taarifa hizo mbili, utaona kiwango SAHIHI cha Deni la Taifa ni Shilingi bilioni (46, 081.43 + 4, 588.39) = 50,669.82 ambalo ni takribani Shilingi Trilioni 51 na sio Shilingi Trilioni 46.
Aidha, ripoti hiyo hiyo ya CAG inasema GDP yetu ni Shilingi bilioni 106,867 na kwahiyo Deni la Taifa ni 47.4% ya Pato la Taifa na sio 41% kama tulivyokuwa tumeambiwa hapo awali!
Aidha, ikumbukwe kwamba, deni hilo ni hadi June 2017. Kwa maana nyingine, kuna uwezekano mkubwa sana kwamba hivi sasa kiwango cha deni halisi la taifa kimezidi nusu ya pato la taifa!
pinners!Imetoka wapi hii tena ..........!!?
Kama ni kweli basi Malaika Mkuu kwenye next life hana nia ya kupambana na Ufisadi ...........!!
ni heri janga laweza kupita , hawa ccm ni gundu la nchiccm ni janga la tanzania
"ofisi ya mdhibiti na mkaguzi mkuu yafutwa, shughuli zake kuhamishiwa hazina"
"kuanzia mwaka wa fedha 2017/2018 report itakuwa inakabidhiwa kwa Rais na kujadiliwa ndani ya vikao vya baraza la Mawaziri"
Na hicho nilichoweka hapo juu kimeandikwa na nani?!wek
weka lichokiandika CAG watu asome wenyewe, siyo kuwawekea hisia zako!
Mkuu tafadhali. Unaumiza wastaafu wengi mkuu.Anyway, hapo juu nimeongeza chumvi, ndimu, pilipili, kachumbari na mbilimbi kwa mbaaaaali manake nimesikia Dar kuna bonge la pupwe!!
CAG hajasema serikali imedanganya deni la taifa bali Serikali Yashusha Deni la Taifa!!
Hivi si ndo kudanganya kwenyewe huko; au?! Hebu msomeni CAG kwenye ripoti yake kisha ndipo nihukumiwe:
Hapo juu ni Ripoti Kuu (Serikali Kuu) ya CAG
inayopatikana Ukurasa wa 104 - 105.
Hapo utaona CAG anataja kiwango cha deni la taifa ambacho ni takribani Shilingi trilioni 4.6 ambacho serikali imekwepa ku-declare.
Mbaya zaidi, kati ya hizo, takribani Shilingi Trilioni 4.4 ni pesa za wavuja jasho... pesa za wafanyakazi! Pesa za wale wale wanaoamka alfajiri na kwenda kugombea madaladala ili wawahi kazini lakini serikali ni kama inasema "pesa zenu tumechukua na kuzitumia tumezitumia; lakini hamtudai!" Kisa?
CAG anaendelea:
Sasa kama huko sio KUDANGANYA kiwango halisi cha Deni la Taifa kumbe tuite nini?!
Yaani, nimekukopesha 1M na umezitumia lakini unaenda kwa demu wako unasema unadaiwa Laki 7 eti kisa tu, baada ya kukupa laki 3, nikasaini lakini chini ya sahihi yangu sikupiga mstari na kwahiyo hilo deni la laki 3 hulitambui... ebo!!
Wakati unazitumia hukuona mapungufu lakini katika kumwambia demu wako kwamba unadaiwa ndo unaona mapungufu!!
That said, kwa kutumia ripoti hiyo hiyo ya CAG kwamba:
Na kujumuisha taarifa kwamba:
Kwa taarifa hizo mbili, utaona kiwango SAHIHI cha Deni la Taifa ni Shilingi bilioni (46, 081.43 + 4, 588.39) = 50,669.82 ambalo ni takribani Shilingi Trilioni 51 na sio Shilingi Trilioni 46.
Aidha, ripoti hiyo hiyo ya CAG inasema GDP yetu ni Shilingi bilioni 106,867 na kwahiyo Deni la Taifa ni 47.4% ya Pato la Taifa na sio 41% kama tulivyokuwa tumeambiwa hapo awali!
Aidha, ikumbukwe kwamba, deni hilo ni hadi June 2017. Kwa maana nyingine, kuna uwezekano mkubwa sana kwamba hivi sasa kiwango cha deni halisi la taifa kimezidi nusu ya pato la taifa!
Achana na Sophist ni sawa na YEHODAYA. Kanitukana kwenye thread ya Kafulila kumponda zitto juu ya ripoti ya CAG. Mi nawa ignore tu..Na hicho nilichoweka hapo juu kimeandikwa na nani?!
Mwongo. Ripoti ya CAG uk 102 hadi 110 hakuna hii stuff yako ya deni la taifa. Kurasa hizi zinaeleza juu ya:Hapo juu ni Ripoti Kuu (Serikali Kuu) ya CAG
inayopatikana Ukurasa wa 104 - 105.