Sasa ni dhahiri mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali Ludovick Utoh amekubali kutumikia chama cha Mapinduzi - CCM
Ni jambo la kushangaza kwamba mdhibiti huyu amekagua mahesabu ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA lakini ameshindwa kabisa kukagua chama cha Mapinduzi CCM.
Wapenda haki demokrasia na utawala bora tunajiuliza maana yake ni nini?
Kwamba CCM iko juu ya sheria?
Kwamba mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali ana maslahi gani ndani ya CCM?
Kwamba labda kuna agenda ya siri nyuma ya ukaguzi wa mahesabu ya Chadema?
Tafakari....