HIYO MILLION TANO INATOKA WAPI?Maeneo : Mtoni kwa Azizi Ally
Vifaa:
-Jiko La GESI la kukaangia chipsi-200,000
-Kabati LA Chipsi - 150,000
-Friji Kubwa la kawaida - 600,000
-friji la Pepsi - 0
-Meza za Kulia kubwa 4 - 800,000
-Viti vya plastic 12 - 700,000
-
Hata Mimi nilitaka kumuuliza hivyo MkuuHivi ujauzaga tu!!
Mil 1.5 chukuaMaeneo : Mtoni kwa Azizi Ally
Vifaa:
-Jiko La GESI la kukaangia chipsi
-Kabati LA Chipsi
-Friji Kubwa la kawaida
-friji la Pepsi
-Meza za Kulia kubwa 4
-Viti vya plastic 12
-
chukua mil 2 . halafu usitoe siriMil 1.5 chukua
Kwa aziz ally kubwa,wapi exactly?