Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
hapanaFinal inaweza kuwa hata mechi 10 ni mpangilio wenu tu
Caf wako sawa lazima game 2 ipigwe amaan stadium
Afrika wengi ni tatizo la akiliMi nilishichanga kufuatili mipira ya afrika kutokana na mambo yao
Final ya NBA huwa inakuwa na mechi sabahapana
hilo haliwezi kuwa tatizo.Mazingira ya Africa ndio yanasababisha waweke hivyo... Uliweka fainali moja Neutral venue, hautapata hata mashabiki... Hakutakuwa na usawa kabisa... Miundombinu na Usafiri kwa mashabiki kuhudhuria fainali tatizo pia... Mfano watanzania wangapi wanaweza kusafiri kwenda Morocco kusapoti timu?? Tusilinganishe Africa na Ulaya.
Tatizo mnataka kila kitu mfanane na wazungu na amuwezi.Mi nilishichanga kufuatili mipira ya afrika kutokana na mambo yao
mashabiki hawawezi safiriFinal(Mwisho) au tamati hivi kwa Afrika neno Hili limegeuzwa nyuma mbele mbele nyuma Why?kila kitu kwetu ni tatizo?
Leo Mada ingelikuwa Moja tu,ila kwa upuuzi wa CAF tunasubirishwa untill next week.
Shame on you
hapana,inapunguza vibe la Ubingwa.Hata kama ni roho mbaya hii yako ni extraordinary mkuu🙌🏽
Mpira ni kwa ajili ya mashabiki mkuu. Bila mashabiki mpira ni useless. Afrika bado hatujafikia uchumi wa watu kusafiri kuzifuata tim zao popote zitakapocheza. Mfano fainali ipigwe neutral ground tufanye South Africa, hapo ni mashabi wachache wataweza kuhudhuria kuishuhudia tim yao, sababu kubwa ikiwa uwezo kiuchumi. Ndio maana fainali inapigwa home and away, yote kuwapa mashabiki wanachostahili.
Acha roho mbaya kiongozi.
Upo sahihi kabisa. Kuna mtu nilimwambia vibe la tim yako kushinda UCL ni kubwa kuliko ikishinda EPL, sababu ubingwa wa EPL ni unauona kabisa ulee unakuja hivyo kuna kuzoea flani, ila UCL, ni dk90 boom. Hata hili ni hivyo hivyo, ila sababu kubwa ni hio, mpira ni kwa ajili ya mashabiki na uchumi wetu africa bado haurusu mashabiki wengi kusafiri kifuata tim zaohapana,inapunguza vibe la Ubingwa.
Leo tungekuwa tunaamka na habari moja tu.
Umesema vyema ndugu. Wakati mwingine lazima tuhusishe uhalisia wetu. Na pia game 2 kuna namna zina ladha yake tofauti na game moja.Mazingira ya Africa ndio yanasababisha waweke hivyo... Uliweka fainali moja Neutral venue, hautapata hata mashabiki... Hakutakuwa na usawa kabisa... Miundombinu na Usafiri kwa mashabiki kuhudhuria fainali tatizo pia... Mfano watanzania wangapi wanaweza kusafiri kwenda Morocco kusapoti timu?? Tusilinganishe Africa na Ulaya.
Mkuu team za uarabuni ndio hawataki mechi ya final iwe moja kwasababu ya advantage ya mechi ya nyumbani al ahly walikataa na walijaribu mara moja ilikuwa al ahly na esperence de Tunis walifanya vurugu baada ya kufungwa ikabidi mechi ichezwe home and away.Final(Mwisho) au tamati hivi kwa Afrika neno Hili limegeuzwa nyuma mbele mbele nyuma Why?kila kitu kwetu ni tatizo?
Leo Mada ingelikuwa Moja tu,ila kwa upuuzi wa CAF tunasubirishwa untill next week.
Shame on you
Sio Africa tuu hata kule south America mechi ni mbiliFinal(Mwisho) au tamati hivi kwa Afrika neno Hili limegeuzwa nyuma mbele mbele nyuma Why?kila kitu kwetu ni tatizo?
Leo Mada ingelikuwa Moja tu,ila kwa upuuzi wa CAF tunasubirishwa untill next week.
Shame on you
hilo haliwezi kuwa tatizo.