[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamani hii Simba mbona kama imepaniwa isiende popote?
Kwa Simba hii, play-off inatosha kumpoteza mapema Sana!Pots kwa ajili ya kupanga michezo ya play-off kwenye kombe la shirikisho barani Afrika imetoka na mchakato wa kupanga mechi hizo za nani anakutana na nani?, Zitafanyika kesho Oct. 26
View attachment 1986479View attachment 1986476
CAF Confederation Cup Play-off round POTS
Draw Procedure
POT 1 vs. POT 2
POT 4 vs. POT 3
POT 1
7 Highest ranked teams from Champions League
POT 2
8 Lowest ranked teams from Confederation Cup
POT 3
9 Lowest ranked teams from Champions League
POT 4
8 Highest ranked teams from Confederation Cup
Simba SC ambayo ni timu pekee kwa Tanzania kusalia ktk michuano ya Afrika wana nafasi kubwa ya kupita ktk round hii na kwenda hatua ya makundi, robo fainali, nusu fainali au hata fainali kabisa na kuchukua kombe la shirikisho barani Afrika
Kila lenye kheri Simba SC
Hiyo pot 2 Simba wanayokutana nayo ya kawaida ila hao SouraMkuu mbona POT ya timu ambazo atapangiwa ni timu za kawaida tu au wewe wasemaje?
Cha muhimu ni kujipanga tu vizuri mkuuKwa Simba hii, play-off inatosha kumpoteza mapema Sana!
Aina ya uchezaji umebadilika Sana, viungo hawaelewani wao kwa wao, nani apande kusuport nashambulizi na nani abakie Kama backup, ikitokea wameshambuliwa Gori!!
Labda wajirekebishe, ila wakiendelea hivi, bas watakaosugua goti kuiombea Simba watakua wanajitesa bure!!
Mkuu, usiangalie ukawaida wa jina la timu, angalia Simba SC imejipangaje?? Yan tunazidiwa na utopolo mbali kabisaaah, hata mtibwa tukikutana nayo watatunyoosha simbuse hizo timu za port 2,??Hiyo pot 2 Simba wanayokutana nayo ya kawaida ila hao Soura
Yaah sema kuna aina ya timu za kutoka congo, SA, na Zambia huwa zina moto sana hasa wakijua udhaifu wakoHiyo pot 2 Simba wanayokutana nayo ya kawaida ila hao Soura
Yaah simba kwasasa kwanza wakubali wana kazi kubwa ya kufanya kwa timu ya sasa, tofauti na hapo hata huku Confederation zitakuja dhahmaMkuu, usiangalie ukawaida wa jina la timu, angalia Simba SC imejipangaje?? Yan tunazidiwa na utopolo mbali kabisaaah, hata mtibwa tukikutana nayo watatunyoosha simbuse hizo timu za port 2,??
Banch la ufundi Simba washituke mapema, viungo wetu wanapwaya Sana, kiwango Ni kibovu Sana!!
Yaani wanagonga mpira wa kiuni, hao Makolo Bora waombe kujitoa mapemaa la sivyo watakiona Cha mtema kuni.Vichaa tena mkuu
Ni kweli kabisa mkuu, Kennedy Juma Ni mzuri kuliko Wawa, Cha kushangaza wanamng'ang'ania Wawa utadhan atafia msimbazi, mipira ya juu haruki, kifupi kazeeka. , Imewapasa banch la ufundi kukitathmini kikosi upya na kuwaamini vijana Kama wakina mwenda sio kukalili siku zote kikosi kile kile!Cha muhimu ni kujipanga tu vizuri mkuu
Alafu utasikia eti wachezaji wameuza match, wameuza match wapi nakati tumezidiwa maarifa na mbinu za kimchezo!!Yaah simba kwasasa kwanza wakubali wana kazi kubwa ya kufanya kwa timu ya sasa, tofauti na hapo hata huku Confederation zitakuja dhahma