Cacico Unaupeleka mbio moyo wangu.

Cacico Unaupeleka mbio moyo wangu.

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,036
Reaction score
168,674
cacico,
Kimekuwa kipindi kirefu sana sasa tangu uamue rasmi kunichunia na kunisahau kabisa.
Mimi bado nakupenda, na upendo wangu kwako unazidi kuongezeka na kuimarika kadiri siku zinavyosonga mbele.
Kibaya zaidi kadiri siku ziendavyo ndivyo unavyozidi kunisahau na kunitoa kabisa kwenye kumbukumbu zako.
Kumbuka zile nyakati zetu nzuri, kumbuka candle light dinner chini ya mbaramwezi.
Kumbuka back horse riding, kumbuka jinsi tulivyokuwa tukiogelea kama dolphins kwenye bahari ya mapenzi.
cacico, najua umesikia mengi sana kutoka kwa familia ya Mwita Maranya, mkewe mwaJ na mtoto wao Zion Daughter.
Naomba uyapuuze tu, kwani maneno hayo hayana hata chembe ya ukweli ndani yake.
Darling, naomba urudishe roho nyuma, rudi mpenzi tuishi kama zamani.

Last edited by a moderator:
Hee....
makubwa, jamani huyu@cacico si ni wa Asprin?
Na huyu buji si ndio kimbelembele wa kumsakama mwaJ?
Haya JF haiishiwi vituko
 
Mwita Maranya na mwanangu Zion Daughter bebu njooni huku mumkanye huyu Buji sijui anataka nini kutoka kwenye familia yetu! Anajua kabisa kuwa cacico ni mke wa babu Asprin halafu anatusingizia sie kuwa tunampa cacico maneno. Bujibuji tumekuchoka jamani! Ingekuwa nyumba zinahamishika tungeihamisha nyumba yetu tuipeleke mtaa mwingine kuliko kuwa na jirani mgomvi kama wewe!
 
Last edited by a moderator:
Hee....
makubwa, jamani huyu@cacico si ni wa Asprin?
Na huyu @buji si ndio kimbelembele wa kumsakama mwaJ?
Haya JF haiishiwi vituko

Yaani we acha tu! Tumeshamchoka mwanamme mgomvi kama nini! Ngoja utaona atakavyokuja kwa fujo.
 
mwaJ lakini hivi huyu hujawahi kumuonjesha?
Mbona anaonekana kama amepagawa na utamu wako?
Hebu njoo PM unipatie jibu la kweli
Yaani we acha tu! Tumeshamchoka mwanamme mgomvi kama nini! Ngoja utaona atakavyokuja kwa fujo.
 
Last edited by a moderator:
mwenyewe huyo mtoto huwa namuwaza sana. rusha ndoano ikishindikana nambie nije na kokolo. mia
 
mwaJ lakini hivi huyu hujawahi kumuonjesha?
Mbona anaonekana kama amepagawa na utamu wako?
Hebu njoo PM unipatie jibu la kweli
giLESi nitake radhi! Nimuonjeshe kwani mie mama muuza?
 
Last edited by a moderator:
Ehee ndo ilikuwa hivyo kwani Jk karudi nchini mara ohoo Bujibuji si akatokea tandale kwa mtogole karibu na kariakoo
mara oho wanaume wanapoongea mtoto kiume kaa kimya mwaJ wacha ambandike kofi mwanae Zion Daughter mpaka aka kaa nia si kuchanganya tu watu cacico kaalikwa na babu Asprin kwa rais nikitoka feli ntapitia hapo msamvu kukuona
konda niache hapo ml city Bujibuji eti ooho zunguko tz yote lkn huwez kuta chips zikiipuliwa na mwiko ndo hivyo bwana nimeskitika sana story ndo ilivykuwa!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom