Hakuna haja ya baraza la mawaziri, Magufuli ni one man army, anatosha kabisaaaa
Mbona hadi leo nchi inaongozwa na watu 4 tu, Magufuli, waziri mkuu, katibu mkuu kiongozi na mwanasheria mkuu na mambo yanakwenda mswano tu.
Nashauri aanze tu kimya kimya kutekeleza maoni ya watanzania kuwa wabunge wasiwe mawaziri, then tusonge mbele na makatibu wa wizara tu