Madai ya waandamanaji ni yapi? If you can only mention few
Wewe ni House nigga!
Usirukeruke, hebu weka sababu za wanachama baadhi wa ANC kuandamana. Tuanzie hapo ili kujua nafasi ya hao unao waita 'WAZUNGU'.Hauwezi kuelewa mambo kama haya wewe endelea kuangalia DW, BBC,CNN &Co. watakupa picha ya Afrika yako unayoitegemea ktk kwao!
Sababu wanazotoa ni za kijinga sana maana Hakuna kiongozi yoyote wa kiafrica aliwahi kukamatwa na kuonewa na ICC wote wanakamatwa kwa taratibu za kimahakama kesi zinaendeshwa kwa wazi na haki na hukumu zinatolewa asiyeridhika bado anapewa haki ya kukataa rufaa. Viongozi wazungu baadhi walishafikishwa huko pia kama Slobodan milisovich na wengine. Kama wapo ambao wanapebdelea viongozi wa Africa walitakiwa kukusanya ushahidi na kuuwasilisha ICC Ili wakamatwe. Kujitoa ni kuhalalisha uhalifu wa kivita ambao kwa Africa umekithiri sana. Inashangaza kwa nn Al bashir wa Sudan hakamatwi na viongozi wa kiafrica na kupelekwa the Hague?Kuna sababu gan ya msingi kujitoa ICC kma cio udikiteta uchwara
You have spoken my mind.Sababu wanazotoa ni za kijinga sana maana Hakuna kiongozi yoyote wa kiafrica aliwahi kukamatwa na kuonewa na ICC wote wanakamatwa kwa taratibu za kimahakama kesi zinaendeshwa kwa wazi na haki na hukumu zinatolewa asiyeridhika bado anapewa haki ya kukataa rufaa. Viongozi wazungu baadhi walishafikishwa huko pia kama Slobodan milisovich na wengine. Kama wapo ambao wanapebdelea viongozi wa Africa walitakiwa kukusanya ushahidi na kuuwasilisha ICC Ili wakamatwe. Kujitoa ni kuhalalisha uhalifu wa kivita ambao kwa Africa umekithiri sana. Inashangaza kwa nn Al bashir wa Sudan hakamatwi na viongozi wa kiafrica na kupelekwa the Hague?
Mi naumia sehemu moja tuUlichoandika hakina ukweli kamili.sidhani kama unazijua vizuri siasa za Ak.aliyeanzisha mpango wa kuzing'oa sanamu za wazungu si zuma bali ni kijana wa upinzani wa EFF.na hao unaowasema wamenunuliwa hakuna ukweli hapo.kwasababu kashachokwa na wenzake.na sababu kuu ni kwamba amehusika katika wizi wa pesa nyingi za uma.hata huo ujenzi wa nuclear kashachota pesa nyingi na baadhi ya wachumi wanahis gharama ya ujenz imezidishwa kwasababu ya rushwa iliyojaa ktk serikali ya Zuma
That is trueYou have spoken my mind.
Wazungu kutofikishwa ICC it doesn't mean makosa wanayo tenda viongozi wa Africa hayapaswi kuhukumiwa ICC . Uhuru and Rutto are Africans na tumeona haki inatendeka.