you dont know english then u force Using It.eg, A Male Of What? And A Female Of What?.sidhani kama ulifikilia kwa kutumia ubongo ulipokua unaandika hayo maneno yako... Then U Say 'A Male Approach' Badala Ya "approaches'.unajua Maana Ya Kuaproach Weye?? Haimaanishi Kutongoza Kivile,ulinielewa safi sana ila kulingana na kutotambua unataka kufanya nini ukaendelea hivi...Kwa Usahihi Zaidi Ungetumia 'Seduce'.hujaweza Hata Kumshawishi Mwenzako nikagundua si mzima kabisaaa haya twende Vizuri Katika Mfano wako.