Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Wakuu
Bwege anaendelea kupiga kichwani anaeleza kuwa Mpina anapambania haki lakini alikosea kujiuna na ACT wazalendo na akasisitiza chama hiko kina shida haiwezekani mara ya pili mfululizo kinakosa mgombea wa Urais ni uzembe.
"Ni kweli kabisa Mpina anataka haki lakini kapotea kuingia kwenye chama ambacho kina walakini. Chama (ACT) kina shida, haiwezekani chama kikuu cha tatu kwa ukubwa Tanzania mwaka wa pili tukose mgombea wa Urais wewe huoni kuna uzembe hapo?" - Selemani bungala (Bwege)