GE2025 Bwege: Mabadiliko hayawezi zuiliwa na mtu yeyote. CCM kuzuia mabadiliko kwa nguvu ya dola kunaweza kutokea uvunjifu wa amani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mwizukulu wa Buganda

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2024
Posts
638
Reaction score
1,771
Aliyekuwa Kada wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge mstaafu wa Kilwa, Selemani Bungara maarufu Bwege amesisitiza kuwa mabadiliko hayawezi kuzuiwa na mtu yeyote, amedai kuwa kitendo cha Chama cha CCM kuzuia mabadiliko kwa kutumia nguvu ya dola yanasababisha uvunjifu wa amani, ameongeza kuwa hata kitendo cha kulazimisha mabadiliko yatokee, yatasababisha uvunjifu wa amani.

Ameyasema haya alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Manzese, jijini Dar es Salaam, Oktoba 18, 2025.

Aliyekuwa kada wa ACT, kwani kwasasa kwa sasa ni mwanachama wa chama gani?
 
Back
Top Bottom