GE2025 Bwege: CCM ina mapungufu kwenye mchakato wa kupata mgombea urais, Msajili amefanya nini? Mahakama imefanya nini? kwanini haki itendeke upinzani tu?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,777
Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam leo, Alhamisi Septemba 04.2025 Mbunge wa zamani wa jimbo la Kilwa Kusini Selemani Saidi Bungara (Bwege) amesema

"Hata serikali ya CCM, humsikii Polepole huko? Mapungufu kumpata Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Msajili kafanya nini? Mahakama imefanya nini? Mapungufu katika Vyama yapo tu, hata CCM yapo na watu wa CCM wanalalamika upatikanaji wa Urais Samia Suluhu sio sawa sawa, akina Polepole wanasema, watu wameenda mahakamani, wameandika barua kwa msajili, Msajili amefanya nini? Mahakama imefanya nini?"

Da afya hizi hatari
 
Nabii Msema Kweli!
 
Back
Top Bottom