Unapenda Sana nature mkuu nakubali sanaDèvil’s Pool (Mosi-oa-Tunya) ni bwawa la asili la maji ambalo liko juu ya Maporomoko ya maji ya Victoria, maarufu kwa kuwa miongoni mwa maporomoko makubwa zaidi ya maji duniani. Pembezoni kabisa ya maporomoko haya makubwa ya maji, kuna bwawa la maji lenye utulivu. Haya yanajulikana kama Dimbwi la Victoria Falls la Dèvil. Na wageni wanaothubutu wanaweza kuogelea kwenye bwawa hili linalozunguka ukingo wa Maporomoko ya maji ya Victoria! Dèvil’s Pool Victoria Falls iko katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara. Iko katika Mto Zambezi, kando ya mpaka wa Zambia na ZimbabweView attachment 2850740
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji173][emoji1548] ndio asili yetuUnapenda Sana nature mkuu nakubali sana
Ukiporomoka huponi, burundi wala hupatikani tenaKwanini limeitwa Bwawa la Shetani?
Kwanini limeitwa Bwawa la Shetani?
Dèvil’s Pool (Mosi-oa-Tunya) ni bwawa la asili la maji ambalo liko juu ya Maporomoko ya maji ya Victoria, maarufu kwa kuwa miongoni mwa maporomoko makubwa zaidi ya maji duniani. Pembezoni kabisa ya maporomoko haya makubwa ya maji, kuna bwawa la maji lenye utulivu. Haya yanajulikana kama Dimbwi la Victoria Falls la Dèvil. Na wageni wanaothubutu wanaweza kuogelea kwenye bwawa hili linalozunguka ukingo wa Maporomoko ya maji ya Victoria! Dèvil’s Pool Victoria Falls iko katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara. Iko katika Mto Zambezi, kando ya mpaka wa Zambia na ZimbabweView attachment 2850740
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1544][emoji1544][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1787]Kaka twende siku moja huku turudi na ushahidi[emoji3][emoji3]