Sasa nataka kuamini kuwa yale maji hayakuwa yakinywewa na ng'ombe watu walikuwa wanacheza mchezo wa hovyo, sasa limejaaje bila mvua kunyesha.
Bwawa la Kufua Umeme Kidatu lafurika maji
Bwawa la Kufua Umeme Kidatu lafurika maji
Wale mawakala wa mafisadi wa kuuza umeme Wamesafishwa. JPM alisema wakati wa kampeni kuwa wapo vijana kwenye mabwawa wanafungulia maji ovyo. Asante JPM Tz ina rasilimali nyingi, shida ni ufisadi tu! Na bado yatafurika yote. Iweje mvua toka miaka ya 1970s ilinyesha ya kutosha lakini maji hayaingii kwenye mabwawa?Sasa nataka kuamini kuwa yale maji hayakuwa yakinywewa na ng'ombe watu walikuwa wanacheza mchezo wa hovyo, sasa limejaaje bila mvua kunyesha.
Bwawa la Kufua Umeme Kidatu lafurika maji