Msherwa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 1,323
- 1,230
Katika Mwaka unaoisha leo 2016, Ifuatayo ni list ya Record zilizovunjwa na "Bwana Yule".
Zote zilizopo hapa ni RECORD MPYA ZILIZOVUNJWA (yaani new, weird and UNBELIEVABLE!!)
1. Kwa mara ya kwanza Bwana Yule mpenda maskini akabomoa nyumba za maskini bila hata kifuta machozi.
2. Walioomba Panadol wakaletewa Pangaboi
3. Walioomba mikopo wakapewa makopo
4. Waliotaka kuona bahari wakalazimika kulijua jangwa la Idodomya KWA LAZIMA
5. Mnyama mwenye jina akaipiku thamani ya kila kitu Tanzania. Watu wakasahau vyote wakamfuata hadi ahera alikolala ili wamuulize kama kweli amekufa au karudi South Africa
6. Sheria Thabiti za kuzuia matawi ya maendeleo yaani sekta ya habari na mawasiliano zikatungwa, huku mahakama ya mafisadi ikikosa watuhumiwa kutokana na sheria zenye matundu!
7. Eti akirudi twajificha uvunguni? (Ndio heshima ya baba nyumbani iheshimiwe!)
8. Dangote akatinga magogoni bila hiyana (hanaga mwakilishi yule?)
9. Namba zikarudiwa toka vidudu mpaka chuo kikuu. Wote wakasoma namba kwa sauti!
10. Ondokeni ....... Nimesema Ondokeni ....!! No, No No.... Rudini.. Rudini mitaani machinga!! Nyie ndo wapiga kura!
11. Sitaki kumuona tena Melo na limtandao lake ...!!! (sorry Melo)
Hebu tufunge mwaka kwa kukumbushana tulipofikia ili tupate mwanga wa wapi tutaanzia 2017. Mimi bado naamini TUNAWEZA kwa sababu TULIANZA!!
Religion Must Be Respected It is a Real Father of Most Of US!!
Happy New Year JF!!