KENGELE, haya maneno bado yanakupa wakati mgumu wakati Wa kuyaandikakengere
ndio unatakiwa kuzitofautisha kiainaherufi zinashabihiana.
Mabadiriko ni mwaka huu. Sio miaka 5 au 10 ijayo. Kwa wengi CCM ni Heri nchi iende kwa Lissu kuliko kwenda kwa Pombe miaka 5 ijayo. Kwanza hatabiriki, pili Hana rafiki wa kweli.Mi mwenyewe natafakari sana
Godfather atabaki nani sasa?
Mwinyi jua lishazama halafu ana maslahi tayari Zanzibar
Veto inamuangukia Mkwere huyu huyu aliyetikiswa na kina Lowassa almanusura CCM igawanyike vipande vipande
Kwa vyovyote vile lazima kutakua na mabadiliko makubwa sana ya siasa zetu miaka 5-10 ijayo
Tuombe uhai. RIP BWM
Mabadiriko ni mwaka huu. Sio miaka 5 au 10 ijayo. Kwa wengi CCM ni Heri nchi iende kwa Lissu kuliko kwenda kwa Pombe miaka 5 ijayo. Kwanza hatabiriki, pili Hana rafiki wa kweli.
kiufupi Chama kinaenda kuwa chini ya vijana wa 1995 yaaani Kinana, Kikwete na Mangula.
Hakuna mwaka rahisi kwa upinzani kuchukua nchi kama mwaka huu.
Mkwele na Kinana hawana cha kupoteza maana hata Chadema wakichukua nchi wapo nao vizuri.
Kuna kitu cha kuangalia hapo, maana jamaa anajipanga kwa nguvu kubwa kila sekta ili kubebwa na hili kuna watu hawatakubali na hapo ndipo ilitakiwa sauti yenye mamlaka ambayo kwa sasa tunakosa kama taifa.Mi mwenyewe natafakari sana
Godfather atabaki nani sasa?
Mwinyi jua lishazama halafu ana maslahi tayari Zanzibar
Veto inamuangukia Mkwere huyu huyu aliyetikiswa na kina Lowassa almanusura CCM igawanyike vipande vipande
Kwa vyovyote vile lazima kutakua na mabadiliko makubwa sana ya siasa zetu miaka huu.
Kwani Mkapa ndiye alikuwa kizuizi cha upinzani ?Mabadiriko ni mwaka huu. Sio miaka 5 au 10 ijayo. Kwa wengi CCM ni Heri nchi iende kwa Lissu kuliko kwenda kwa Pombe miaka 5 ijayo. Kwanza hatabiriki, pili Hana rafiki wa kweli.
kiufupi Chama kinaenda kuwa chini ya vijana wa 1995 yaaani Kinana, Kikwete na Mangula.
Hakuna mwaka rahisi kwa upinzani kuchukua nchi kama mwaka huu.
Mkwele na Kinana hawana cha kupoteza maana hata Chadema wakichukua nchi wapo nao vizuri.
Kwani wewe hujui??Kwani Mkapa ndiye alikuwa kizuizi cha upinzani ?
Sikujua mkuu, ebu nieleweshe kidogoKwani wewe hujui??
Magu ataongeza muda.Mi mwenyewe natafakari sana
Godfather atabaki nani sasa?
Mwinyi jua lishazama halafu ana maslahi tayari Zanzibar
Veto inamuangukia Mkwere huyu huyu aliyetikiswa na kina Lowassa almanusura CCM igawanyike vipande vipande
Kwa vyovyote vile lazima kutakua na mabadiliko makubwa sana ya siasa zetu miaka 5-10 ijayo
Tuombe uhai. RIP BWM
Aiseee !Mabadiriko ni mwaka huu. Sio miaka 5 au 10 ijayo. Kwa wengi CCM ni Heri nchi iende kwa Lissu kuliko kwenda kwa Pombe miaka 5 ijayo. Kwanza hatabiriki, pili Hana rafiki wa kweli.
kiufupi Chama kinaenda kuwa chini ya vijana wa 1995 yaaani Kinana, Kikwete na Mangula.
Hakuna mwaka rahisi kwa upinzani kuchukua nchi kama mwaka huu.
Mkwele na Kinana hawana cha kupoteza maana hata Chadema wakichukua nchi wapo nao vizuri.
Hahahah hizi akili sijui huwa mnazitoa wapi ndugu zangu, nazionea huruma familia mnazoziongoza. Tuna kizazi cha ajabu sana kisichotumia tafakuri tinduiziMabadiriko ni mwaka huu. Sio miaka 5 au 10 ijayo. Kwa wengi CCM ni Heri nchi iende kwa Lissu kuliko kwenda kwa Pombe miaka 5 ijayo. Kwanza hatabiriki, pili Hana rafiki wa kweli.
kiufupi Chama kinaenda kuwa chini ya vijana wa 1995 yaaani Kinana, Kikwete na Mangula.
Hakuna mwaka rahisi kwa upinzani kuchukua nchi kama mwaka huu.
Mkwele na Kinana hawana cha kupoteza maana hata Chadema wakichukua nchi wapo nao vizuri.
Endelea kucheka. Nje kumeshakuchaHahahah hizi akili sijui huwa mnazitoa wapi ndugu zangu, nazionea huruma familia mnazoziongoza. Tuna kizazi cha ajabu sana kisichotumia tafakuri tinduizi