Spear JF-Expert Member Jun 21, 2008 507 28 Apr 22, 2011 #1 Tuseme hii ni kuwacheza shere wazanzibari wamini kama nao wamo katika jumuiya ya East Africa kama walivyokuwemo kabla ya kuvunjika au ni sababu za ujuha waliokuwa nao mpaka kufikia kufanyiwa kuwa gari la ngombe usukani puwa?
Tuseme hii ni kuwacheza shere wazanzibari wamini kama nao wamo katika jumuiya ya East Africa kama walivyokuwemo kabla ya kuvunjika au ni sababu za ujuha waliokuwa nao mpaka kufikia kufanyiwa kuwa gari la ngombe usukani puwa?
K kyerwa Member Apr 11, 2011 23 2 Apr 22, 2011 #2 Ndg toa maelezo siyo malalamiko ili ueleweke unachotaka kusema
LordJustice1 JF-Expert Member Jan 19, 2011 2,263 530 Apr 22, 2011 #3 kyerwa said: Ndg toa maelezo siyo malalamiko ili ueleweke unachotaka kusema Click to expand... kweli, sijamwelewa hata mimi huyu spear.
kyerwa said: Ndg toa maelezo siyo malalamiko ili ueleweke unachotaka kusema Click to expand... kweli, sijamwelewa hata mimi huyu spear.