Bwana Martin Makondo, amehamia rasmi CHADEMA

Habari Nzuri sana hizi karibu sana kamanda kwenye ukombozi wakweli
 
Wanaohamia chadema ni kwa ajili ya kugombea ubunge na udiwani..wasaka tonge

Hahahahah...wanasaka tonge kwenye chama kilichokufa??????? Angalieni maneno yenu jamani mda mwingine tunapata ujumbe tofauti btn the line
 
ila asije kwa dhumuni la kutafuta madaraka
 
Hivi heche ni nani? Au ndiyo yule katibu wa bawacha wilaya ya tarime.

Binafsi siwezi kukushangaa kwa sbb walio Ccm wote IQ zao ndizo hizo,nimepita vijijini wale wote wasiojua chochote nawanaoamini Rais bado ni Nyerere wamevaa viremba na kofia za Ccm na ndio wanaoichagua Ccm,kwahiyo naww niwalewale
 
Wilaya ya Itilima ipo Mkoa wa Simiyu na sio Shinyanga.
 
Ccm washindi hutafutwa kwa rushwa,huwezi kutudanganya wenye ufahamu boya wewe
 
ACT hamna kitu!! makamanda hawa baada ya kuwapokea mnashindwa! hivi mtapata hata diwani kweli 2015?
 
Mwenye ufahamu utakuwa CDM?? Chama ambacho ni wake na mahawara wa viongozi ndio wanapata nafasi, nakusikitikia sana maana sijui utafanya nn upate nafasi!!
Ccm washindi hutafutwa kwa rushwa,huwezi kutudanganya wenye ufahamu boya wewe
 
Binafsi siwezi kukushangaa kwa sbb walio Ccm wote IQ zao ndizo hizo,nimepita vijijini wale wote wasiojua chochote nawanaoamini Rais bado ni Nyerere wamevaa viremba na kofia za Ccm na ndio wanaoichagua Ccm,kwahiyo naww niwalewale

Labda mama na baba yako ndio anajuwa rais ni nyerere
 
Unajidanganya mkuu...................... huko CCM kuanzia sasa mwendo mdundo, vijiti wanaachiwa watoto wao tu!! Yale yaliyotekea kuanzia Kule Arusha, Kalenga na kwa akina Baba Mwanaasha ilikuwa ni pima joto tu ....................... kwa kuwa mmeonekana kuridhika 2015 mwendo ni mdundo mbele kwa mbele mpaka William atakabidhiwa kijiti!! Mlishaambiwa kuwa CCM ina wenyewe lakini kwa akili zenu fupi mmeshindwa kuwaelewa wana maana gani!!
 
Swadakta mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…