Arnold Ringo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 2,318
- 394
Amechagua fungu jema bila shaka hatajutia uamuzi wake...Aliyekuwa MGOMBEA Ubunge Jimbo la Bariadi kupitia CCM na kushika nafasi ya pili baada ya Mhe.John Cheyo wa UDP Bwana Martin Makondo, amehamia rasmi CHADEMA na kukabidhiwa Kadi ya Chama na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA Bwana John Heche katika moja ya Mikutano ya hadhara ya Chama inayoendelea huko Wilayani Itilima Mkoani Shinyanga
Ameamua kuungana na wamwagia watu tindikali, walisha watu sumu na wapora wake za watu
Hivi heche ni nani? Au ndiyo yule katibu wa bawacha wilaya ya tarime.
Pole sana Mkuu. Kwani chadema ina wabunge wangapi vile na ccm inao wangapi vileCccm inapukutika jamani
Kani UKAWA wana nini jipya?Kipindi hii lazima dawa ya ukawa itawaingia nyie Lumumba
Picha inaongea vema zaidi kuliko bla blaawewe kila kitu picha!