[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ha ha ha haaaaa!
Jamaa 1 alikuwa amekaa zake sebuleni anasoma gazet, ghafla akapigwa kwa frampen uson na mkewe!
JAMAA: VP tena darling kulikon?
MKE: kwenye surual yako wakat najiandaa kuifua nikakuta kikaratas kimeandikwa "JENNY", unaweza ukanieleza huyo JENNY ni nani kwako?
JAMAA: aaah! wik ilopita nlikuwa kweny mashndano ya farasi, na Jenny ndo jina alobandikwa faras wangu yan faras wangu aliitwa JENNY!
MKE: sorry darling!
Siku ilofuata jamaa akiwa amekaa kochin huku akisoma gazet, alishtukia tena frampen ya uso "kwaang!"
JAMAA: Uwiiiiiii! Jamani darling kulikon tena?
MKE: Farasi wako kapiga cm!
Mtuhurumie ndio model yetu🤦♂️🤦♂️🤦♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wanaume [emoji114]N
Yaani nyie hata ufumaniwe hapo lazima tu ukataeMtuhurumie ndio model yetu[emoji2357][emoji2357][emoji2357]
Sasa siilikuwa bahati mbaya shetani kanipitia!?Yaani nyie hata ufumaniwe hapo lazima tu ukatae
Hata nyie huwa mnataka tukatae.Yaani nyie hata ufumaniwe hapo lazima tu ukatae
wee hujui sisi tunapenda kupigwa na ke tuuu baasi!! tena nakwambia kabisa twende ndani tuyamalize!!!! basi tukifika huko wewe nipige uwezavyo hata km una fimbo nichalaze weeeee!! utosheke af niombe mambo yetu yale!!Yaani nyie hata ufumaniwe hapo lazima tu ukatae
Tumefanyeje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wanaume [emoji114]