KAKA A TAIFA
JF-Expert Member
- Apr 27, 2011
- 566
- 83
Basi wote walikuwa hawajawahi kabisaaaa .basi wamefunga harusi wamepelekwa chumba husika chini ya usimamizi wa vibibi na mashangazi na washenga.jamaa akoachwa juu ya bimkubwa ,walivyorudi kaa hajajigusa.basi bibi mmoja akagiza aletewe jogoo na mchele.vyote vikaletwa bibi: Wewe kijana mlalie biharusi ati,akafanya hivyo .bibi akaagiiza mchele ,aka mwagia kijana mgongoni mpaka kiunoni.jogoo akaletwa akaanza kumdonoa taratibu kijana akawa anapanda anashuka huku somo akaanza kulijua mara mchele ukesha jogoo hadonoi tenu naye hajigusi,mara akasikika akisema niongezeeni nchele ,niongezeeninchele nshasikia raha ati kumbe jogoo kwa nchele ndio ndoa yenyewe