Goodrich JF-Expert Member Joined Jan 29, 2012 Posts 2,091 Reaction score 1,179 Aug 3, 2012 #1 Picha zinaongea kuliko maneno [/B][/I] Barack Obama akiwa na baba yake enzi hizo Barack Obama akiwa kwa nduguze Kogelo Kenya akiwa na bibi yake Hapa sijui alikuwa anaenda mashine kusaga ! Kuhitimu chuo kikuu Na hapa ndipo Mungu alipomfikisha kwa sasa ! na hawa ni kina Mpoki na Joti. Mr 2. Joseph Kabila
Picha zinaongea kuliko maneno [/B][/I] Barack Obama akiwa na baba yake enzi hizo Barack Obama akiwa kwa nduguze Kogelo Kenya akiwa na bibi yake Hapa sijui alikuwa anaenda mashine kusaga ! Kuhitimu chuo kikuu Na hapa ndipo Mungu alipomfikisha kwa sasa ! na hawa ni kina Mpoki na Joti. Mr 2. Joseph Kabila
A ammah JF-Expert Member Joined Oct 2, 2010 Posts 222 Reaction score 70 Aug 3, 2012 #2 ni kwel ninachokiona au??!!
Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 10,586 Reaction score 7,976 Aug 3, 2012 #3 Wekeni vitu vinavyotuhusu.
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Aug 4, 2012 #4 Goodrich; Ngoja nivue mawani nifute macho yangu labda naona tofauti na wengine. Mweeee ndiye mwenyewe kabisa, hivi hii ni kweli au ni pichaduka? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Goodrich; Ngoja nivue mawani nifute macho yangu labda naona tofauti na wengine. Mweeee ndiye mwenyewe kabisa, hivi hii ni kweli au ni pichaduka?
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Aug 4, 2012 #5 mbali wapi
Goodrich JF-Expert Member Joined Jan 29, 2012 Posts 2,091 Reaction score 1,179 Aug 6, 2012 Thread starter #6 ammah said: ni kwel ninachokiona au??!! Click to expand... Hii ni Obama alipowatembelea ndugu zake wa Kenya miaka ya 90s.
ammah said: ni kwel ninachokiona au??!! Click to expand... Hii ni Obama alipowatembelea ndugu zake wa Kenya miaka ya 90s.
Kanyapini JF-Expert Member Joined Jul 25, 2012 Posts 295 Reaction score 81 Aug 7, 2012 #7 Wekeni na pics za utotoni za Mkuu wa kaya.
mwaJ JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 4,074 Reaction score 2,950 Aug 7, 2012 #8 Kanyapini said: Wekeni na pics za utotoni za Mkuu wa kaya. Click to expand... Hukuna picha zake za utotoni. Ameanza kupiga picha alipokuwa chuo kikuu ndio maana anapenda sana kupiga picha uzeeni.
Kanyapini said: Wekeni na pics za utotoni za Mkuu wa kaya. Click to expand... Hukuna picha zake za utotoni. Ameanza kupiga picha alipokuwa chuo kikuu ndio maana anapenda sana kupiga picha uzeeni.
Goodrich JF-Expert Member Joined Jan 29, 2012 Posts 2,091 Reaction score 1,179 Aug 7, 2012 Thread starter #9 Joseph Kabila (kulia) akiwa na rafikiye miaka hiyo. Hapo vipi? Umekubali kuwa Mungu anatutoa mbali sana !
Joseph Kabila (kulia) akiwa na rafikiye miaka hiyo. Hapo vipi? Umekubali kuwa Mungu anatutoa mbali sana !
njiwa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 13,259 Reaction score 7,109 Aug 7, 2012 #10 mwaJ said: Hukuna picha zake za utotoni. Ameanza kupiga picha alipokuwa chuo kikuu ndio maana anapenda sana kupiga picha uzeeni. Click to expand... we za kwako za utotoni ziko wapi..?
mwaJ said: Hukuna picha zake za utotoni. Ameanza kupiga picha alipokuwa chuo kikuu ndio maana anapenda sana kupiga picha uzeeni. Click to expand... we za kwako za utotoni ziko wapi..?
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 21,497 Reaction score 38,347 Aug 7, 2012 #11 Ni kweli watu wametoka mbali.
Ambitious JF-Expert Member Joined Dec 26, 2011 Posts 2,143 Reaction score 884 Aug 7, 2012 #12 Goodrich said: View attachment 61160 Hapo vipi? Umekubali kuwa Mungu anatutoa mbali sana ! Click to expand... Huyo mwenye fulana ni Dwayne Wade au?
Goodrich said: View attachment 61160 Hapo vipi? Umekubali kuwa Mungu anatutoa mbali sana ! Click to expand... Huyo mwenye fulana ni Dwayne Wade au?
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 21,497 Reaction score 38,347 Aug 7, 2012 #13 Mzee wa ukweli na uwazi enzi hizo akiwa waziri wa mambo ya nje mwaka 1977.
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 21,497 Reaction score 38,347 Aug 7, 2012 #14 Hapa Mzee wa ukweli na uwazi nywele zilikuwa bado hazijaanza kunyonyoka.
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 21,497 Reaction score 38,347 Aug 7, 2012 #15 Kanyapini said: Wekeni na pics za utotoni za Mkuu wa kaya. Click to expand... Mkuu Kanyapini mbona ziko nyingi sana kwa kuanzia ebu check hii hapa ha ha ha ha ha ha. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kanyapini said: Wekeni na pics za utotoni za Mkuu wa kaya. Click to expand... Mkuu Kanyapini mbona ziko nyingi sana kwa kuanzia ebu check hii hapa ha ha ha ha ha ha.
HOMOSAPIEN JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 745 Reaction score 273 Aug 7, 2012 #16 Huyo ndiyo Obama bana!
HOMOSAPIEN JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 745 Reaction score 273 Aug 7, 2012 #17 Ona Avatar yangu huyo ndiyo yeye yuleyule Obama bana,utoto hauchagui mzungu muasia au mwafrika wote sawa bana
Ona Avatar yangu huyo ndiyo yeye yuleyule Obama bana,utoto hauchagui mzungu muasia au mwafrika wote sawa bana
mwaJ JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 4,074 Reaction score 2,950 Aug 7, 2012 #18 njiwa said: we za kwako za utotoni ziko wapi..? Click to expand... Pole mkuu umeguswa sana eeh? Zangu zipo home kwa mama.
njiwa said: we za kwako za utotoni ziko wapi..? Click to expand... Pole mkuu umeguswa sana eeh? Zangu zipo home kwa mama.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,394 Reaction score 99,239 Aug 7, 2012 #19 Du nomaa Obama alikua kachoka kweli.
Dodoma one JF-Expert Member Joined Apr 23, 2012 Posts 326 Reaction score 29 Aug 7, 2012 #20 Its real nimezikubali hizo picha. Wapi SIMBA WA TARANGA?