Kwavile ameshakata simu. Basi achana nae.Wakuu mulibwanji..
Huku mambo ni nainai tu.
Hapa nyumban kwangu kuna mdogo wake na mwanamke wangu binti mkubwa tu wa miaka 23 sasa. Alikuja huku kwa lengo la kujiendeleza ufundi baada ya kukosa wa kumsaidia uko kwao. Nilijtolea nikamtumia nauli akaja na nikamtafutia pa kujiendeleza kwa mwez nalipa elf 90 pamoja na vifaa. Amekaa miez miwili akaanza vituko eti anataka rud nyumban anashinikza apewe nauli na mafunzo hajamaliza nikamwambia kwasasa sina hela subiri akauliza mpk lini nkamjbu mi sjui mpk lini maana pesa utafutaji wake n mgumu akasema bs apge cm kwao wamtumie au ndugu zake wamchangie bnafs maisha ya kwao nayajua sn hata dada mtu aliligomea hlo kwan hawataweza mtumia na atawaletea usumbufu tu at last nlimpa vocha apge apate nauli akapga akajbiwa hawana hela nauli apewe uku wakamhoji nn knamrudsha hana jbu. Juz kuna jamaa alipga cm usku kwny cm yng akasema anamulzia bnt nikamulza we nani akasema mchumba wake nkamwambia huijui nmb ya mchumba wako akashusha matus mazto nkakata cm. Wakuu mnanishauri nn?
Mtoto akililia wembe ?Wakuu mulibwanji..

Hili nalo neno...Wewe ulitaka amtukane nan wakati wewe ndio imempendeza akutukane Cha pili umewahi kujaribu kusaidia ndugu zako au unasaidia tu ndugu za mkeo
Huyu amekosa wa kumpelekea motoWakuu mulibwanji..
Huku mambo ni nainai tu.
Hapa nyumbani kwangu kuna mdogo wake na mwanamke wangu binti mkubwa tu wa miaka 23 sasa. Alikuja huku kwa lengo la kujiendeleza ufundi baada ya kukosa wa kumsaidia uko kwao.
Nilijtolea nikamtumia nauli akaja na nikamtafutia pa kujiendeleza kwa mwezi nalipa elf 90 pamoja na vifaa.
Amekaa miezi miwili akaanza vituko eti anataka rudi nyumbani anashinikza apewe nauli na mafunzo hajamaliza nikamwambia kwasasa sina hela subiri akauliza mpaka lini nkamjbu mi sjui mpaka lini maana pesa utafutaji wake ni mgumu akasema basi apige simu kwao wamtumie au ndugu zake wamchangie.
Binafsi maisha ya kwao nayajua sana hata dada mtu aliligomea hilo kwani hawataweza mtumia na atawaletea usumbufu tu at last nlimpa vocha pige apate nauli.
Akapga akajbiwa hawana hela nauli apewe huku wakamhoji nini kinamrudisha hana jibu.
Juzi kuna jamaa alipiga simu usiku kwenye simu yangu akasema anamulzia binti nikamulza we nani akasema mchumba wake nkamwambia huijui namba ya mchumba wako akashusha matusi mazito nkakata simu.
Wakuu mnanishauri nini?
mmmh aiseeHuyu amekosa wa kumpelekea moto
Moto kauacha kwao akili ya wanawake usipoijua utasumbuka sana
Huyu mpelekee moto tu uone kama hajagaili kwenda homu kwao epuka mimba tu
Sent from my Hope10 Pro using JamiiForums mobile app