Robinhomtoto
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 238
- 244
Huyu hawezi kutenda haki sababu ni party caucus, wakiwa huko wanahimizana kukandamiza upinzani kwa gharama zizote. Pili ngazi ya juu inahimiza upinzani ukandamizwe kwa gharama zozote. Ref: Hotuba ya Jana ikulu wakati akipokea taarifa ya tume ya mchanga alimuagiza Ndugai aendelee kuwakandamiza na wakitoka nje awashughulikie yeye mwenyewe.Wadau naomba tushirikiane kumkumbusha Bw.Ndugai Spika wa Bunge Juu ya kiapo alichoapa baada ya kuchaguliwa.Spika Ndugai anaonekana kuchukia dhahiri Kambi ya Upinzani .Kauli Na maamuzi yake yamekuwa ya upendeleo dhahiri Kwa wabunge wa CCM.
Una maana yule spika asiye na heshima wala kuheshimika yule Ndu nani tena Ndugai?!! This is a crapWadau naomba tushirikiane kumkumbusha Bw.Ndugai Spika wa Bunge Juu ya kiapo alichoapa baada ya kuchaguliwa.Spika Ndugai anaonekana kuchukia dhahiri Kambi ya Upinzani .Kauli Na maamuzi yake yamekuwa ya upendeleo dhahiri Kwa wabunge wa CCM.