Bw.Ndugai uliapa kuwa utatenda haki katika Kazi yako ya uspika vipi tena?

Robinhomtoto

JF-Expert Member
May 17, 2017
238
244
Wadau naomba tushirikiane kumkumbusha Bw.Ndugai Spika wa Bunge Juu ya kiapo alichoapa baada ya kuchaguliwa.Spika Ndugai anaonekana kuchukia dhahiri Kambi ya Upinzani .Kauli Na maamuzi yake yamekuwa ya upendeleo dhahiri Kwa wabunge wa CCM.
 
Huyu hawezi kutenda haki sababu ni party caucus, wakiwa huko wanahimizana kukandamiza upinzani kwa gharama zizote. Pili ngazi ya juu inahimiza upinzani ukandamizwe kwa gharama zozote. Ref: Hotuba ya Jana ikulu wakati akipokea taarifa ya tume ya mchanga alimuagiza Ndugai aendelee kuwakandamiza na wakitoka nje awashughulikie yeye mwenyewe.

Cairo's
 
Wadau naomba tushirikiane kumkumbusha Bw.Ndugai Spika wa Bunge Juu ya kiapo alichoapa baada ya kuchaguliwa.Spika Ndugai anaonekana kuchukia dhahiri Kambi ya Upinzani .Kauli Na maamuzi yake yamekuwa ya upendeleo dhahiri Kwa wabunge wa CCM.
Una maana yule spika asiye na heshima wala kuheshimika yule Ndu nani tena Ndugai?!! This is a crap
 
Shida ninayoiona mm ni ufahamu tu na kukosa elimu juu ya kiapo! Wengi wao wanasahau kua kiapo hukifanyi kwa mwanadamu bali kwa mungu ndio maana wengi wao wanajawa na hofu yakumuogopa mwanadamu na kumtii nakumsahau mungu
 
Kuna lile dude linaishi kandokando ya bahari ya Hindi limeweka chama la wana mfukoni, ukileta fyokofyoko linakutimulia mbali huko, sasa naye analiogopa asije akatupwa inje,
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom