Bw. Lowassa, A Bitter Pill to Swallow

Kwani ule unabii wako unahitaji 'ma strategists'?

Haswa kwani imani bila matendo imekufa! Kumbe Mungu atashuka kuja kutuletea mkombozi? Kwani Boss hujawa motivated na unabii wangu? lol !
 

Wawezaje fanya biashara isiyo na faida? Kuvutiwa ndiyo ticket yenyewe yakuanza kuji-register si inamaana unaimani kuwa ndiyo mkombozi mwenyewe sasa hapo mm nimekosea wapi? Ukiyavulia nguo maji usiogope kuyaoga...Kama unaamini anaweza why then shy away kumnadi? Bado narudia kama ww ndiyo type ya mastrategist (shabiki, fuasi, mpendwa etc) wake basi kazi anayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…