linganisha lowassa alivyokuwa waziri mkuu na huyu mtoto wa mkulima au sumayeAlikuwa wapi kufanya hayo alipokuwa waziri mkuu?
Alikuwa wapi kufanya hayo alipokuwa waziri mkuu?
Uzuri wa mtu unapimwa kwa hotuba?
Baada ya kumsikiliza Bw. Lowasa (Waziri mkuu aliyepita) kwenye kipindi cha dakika 45 ITV kwa makini sana ninaweza kusema kwamba sijawahi tangu ufwatiliaji wangu wa siasa za hapa kwetu kusikia kiongozi akiongea mambo ambayo yamenigusa kama Bw. Lowasa.
Kwangu mimi ameonekana kama mtu anayeelewa ni nini hasa tatizo letu na kwa nini hatutoki hapa tulipo kwa mfano moja ya vitu alivyonigusa ni pale kwenye Mafuta, anasema kwamba ni lazima tununue mafuta kwa wingi PALE AMBAPO BEI YA MAFUTA INAPOKUWA CHINI (soko la Dunia) ili kuweza kufidia kwa wakati inapopanda, hiyo kwangu mimi ni reasoning ya hali ya juu na ninalazimika kusema sijawahi kusikia kiongozi wa Tz akiweza kuongea na kutoa reasoning kama hiyo, kingine ni kuhusu uwiano wa ukuaji wa Uchumi na mabadilko ya maisha ya mwananchi wa kawaida (trickle down effect) ameweza kuelezea nini kifanyike ili ukuaji wa uchumi uweze kumfikia mwananchi wa chini, hakuna kiongozi wa Tanzania niliwahi kumsikia akiongelea nini kifanyike kutatua matatizo wote wengine nawasikia ni kulialia tu na kulalamika bila kutoa au kushauri nini kifanyike!
Hivyo kwangu mimi pamoja na kusikia yote kuhusu huyu Bw. Lowasa ikiwemo tuhuma za mambo mbalimbali nafikiri ni mtu ambaye tukimtumia vizuri kwa njia yoyote ile, hata kwa usahuri tu, tunaweza kupata kitu!

We ni kijakazi wa Lowassa no doubt
Eti mafuta
wakati nchi ina gesi ambayo ni nishati mbadala?
tunaweza tumia gesi na kupunguza kabisa kununua mafuta kwa kiwango kikubwa
na je mbona Zambia wananunua kupitia bandari ya Dar lakini bei zipo chini?
South Africa je?
inflation je?
dollarization je?
Lowass was a mistake then.he is a scandal now,he will be a disaster tomorrow .....mark my words
Inawezekana lakini mimi binafsi siajawahi kumsikia kiongozi akijaribu kuchambua na kuelezea tatizo ni nini na nini kifanyike na ukiyapima yako ndani ya uwezo wetu, na sio kuongelea kwamba sijui watanzania tunadharaulika kwa maana hatuji kuvaa suti vitu kama hivyo!Hiyo mbona hata wakulima wa mpunga Kilombero wanajua! Kuna muujiza gani kwenye hilo???
Inawezekana lakini mimi binafsi siajawahi kumsikia kiongozi akijaribu kuchambua na kuelezea tatizo ni nini na nini kifanyike na ukiyapima yako ndani ya uwezo wetu, na sio kuongelea kwamba sijui watanzania tunadharaulika kwa maana hatuji kuvaa suti vitu kama hivyo!
Ndugu hatufanyi comparison ya mbovu kwa mbovu ili kutafuta ipi afadhali,Lowasa alikuwepo serikarini na hatukuona jema la kumnasibisha nalo iweje sasa?linganisha lowassa alivyokuwa waziri mkuu na huyu mtoto wa mkulima au sumaye
Ndugu hatufanyi comparison ya mbovu kwa mbovu ili kutafuta ipi afadhali,Lowasa alikuwepo serikarini na hatukuona jema la kumnasibisha nalo iweje sasa?