Bw. Hamis Dammbaya vipi bhana!!

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Bw. Hamis Dambaya akiripotia Mlimani TV. Namsikiliza katika Jarida la Habari akiruka na kijambo cha Wiki. Staili anayotumia ni ya aina yake, awali nildhani ni ubunifu wake katika tasnia ya habarii kumbe ...unagundua...

YouTube - Bull's-eye: Every Friday with Emmanuel Juma

khaa..ni uigizaji alioufanya tokwa kwa Emmanuel Juma kupitia Kipindi cha BULLS EYE kinachorushwa kila Ijumaa na NTV ya Kenya...:

YouTube - Bull's-Eye: Things fall apart

9k=
 
Mleta mada, kuna tatizo gani kwa Dammbaya kupenda ubunifu wa mtu mwingine na kuamua kufanya kama yeye? Unataka kutuambia ni kitu gani utakachoanzisha leo ambacho hakijafanywa na wengine? Acha hizo! Ni sawa na mtu kufikiria kuanzisha aina yake ya mshono wa suruali, au kutumia njia nyingine ili kuingia ndani kwake pasipo kutumia mlango kwa kuwa vitu hivyo kuna waatu walibuni!
 
Hakuna Tatatiz bhanaaa. ni ubunifu tu wa kunakiri mkuu!!
 
Yaani ngoshwe utakuwa na tatizo kichwani. kwakuwa ITV walikuwa wa kwanza kuwa na taarifa ya habari kwahiyo unataka TV nyingine zooote zisiwe na taarifa za habari au la zitakuwa zinaiga???? Hivi tanzania ni TV gani imewahi kuwa na kipengere kile??? kama hakuna kuna ubaya gani Mlimani TV kuwa ya kwanza??? TV nyingine zikianzisha tutasema sasa wao ndio wameiga Mlimani TV. Dambaya endeleza jahazi unachokifanya ni safi kabisa maana zaidi ya mwaka sasa naona kijambo kila Jumapili, Big UP sanaaaa!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom