Bvr yawakeshesha wananchi

Bvr yawakeshesha wananchi

Asante sana mwalimu wangu respect wa boda. Kuhusu hamasa ya mabadiliko kijijini wangu ipo juu sana ndio maana magamba tumeyatokomeza kusikojulikana. Kwa kijiji hichi hata kama kwa siku watandikisha watu2,hakuna mwanakijiji atakaevunjika moyo na kurudi nyumbani Bali ndipo watapozidi kujazana vituoni pamoja na watoto wao. Watapikia hapo hapo vituoni na kulala hapo hapo vituoni. HII NDIO UKEREWE BHANA HATA PIUS MSEKWA ANALIJUA HILO. By the way kamanda wangu Jana nilikuPM kama ulivyonifahamisha lakini naona haukunijibu.

Haikunifikia hiyo PM mkuu kamwe nisingeacha kujibu

Jaribu tena hapa mkuu. Gonga kwenye jina langu then nenda kwenye sehemu iliyoandikwa Send Message kisha andika title halafu andika ujumbe mwisho Submit. Moja kwa moja itakuwa imenifikia.

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Hii ni hujuma ya wazi kabisa.. Sio bahati mbaya hata kidogo.. ccm wanatafuta pa kutokea na wanacheza na utulivu na amani ya taifa hili.. Kuandikishwa kwenye daftari sio hisani wala ombi..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wahuni, wezi na mafisadi ndani ya Serikali hii dhalimu washakwapua pesa yao safi kiulaini kabisa, sasa wanatufanyia usanii tu eti "wanaandikisha wapiga kura" kwa kutumia vifaa vibovu!

Inahitaji miaka ishirini kuandikisha watanzania wote
 
Kama tungekuwa Serious enough wangewaandikisha hadi watoto wa miaka kumi na kuendelea ili muda ukifika wa wao kupiga kura System iwe inawatambua moja kwa moja ...
 
Kasindogo ya uandikishaji imesababisha wananchi wa wilaya tunduru kulala vituoni kusubiri kupata vitambulisho,kituo kinachoongoza watu kukesha shule ya msingi muungano kwa zaidi ya siku 3 mfululizo,kituo cha stend ya mabasi(tarafani),nakayaya mashariki (cdc).baadhi ya vituo kwa siku wastani uandikishaji ndani siku 3ni chini ya40.na kila kituo kina wapiga kura zaidi 2000.siku za kujiandikisha 7.sijui kama tutafika

Mtwara hii apa mtaa wa magomen shuleni na leo ni siku ya kwanza, uezo wa kuandikisha kwa Machine moja kwa siku ni watu 100 wengine wamerud wameambiwa wajitaidi kesho kufika mapema
 
Attachments

  • 1430561060446.jpg
    1430561060446.jpg
    122.5 KB · Views: 90
Kasindogo ya uandikishaji imesababisha wananchi wa wilaya tunduru kulala vituoni kusubiri kupata vitambulisho,kituo kinachoongoza watu kukesha shule ya msingi muungano kwa zaidi ya siku 3 mfululizo,kituo cha stend ya mabasi(tarafani),nakayaya mashariki (cdc).baadhi ya vituo kwa siku wastani uandikishaji ndani siku 3ni chini ya40.na kila kituo kina wapiga kura zaidi 2000.siku za kujiandikisha 7.sijui kama tutafika

Kama hali ni mbaya kiasi hicho watu wengi watavunjika moyo wa kujiandikisha!

Si wengi watakuwa tayari kuacha shughuli zao wakashinde na kukesha kituoni.
 
Inahitaji miaka ishirini kuandikisha watanzania wote

Kwa mtindo huu huwa nawazaga hivi siku na Hii tanzania ikitumbukia kwenye matatizo kwa sababu ya hawa wapenda madaraka.tutakuwa wageni wa nani? Somalia au Sudani.
 
Kasindogo ya uandikishaji imesababisha wananchi wa wilaya tunduru kulala vituoni kusubiri kupata vitambulisho,kituo kinachoongoza watu kukesha shule ya msingi muungano kwa zaidi ya siku 3 mfululizo,kituo cha stend ya mabasi(tarafani),nakayaya mashariki (cdc).baadhi ya vituo kwa siku wastani uandikishaji ndani siku 3ni chini ya40.na kila kituo kina wapiga kura zaidi 2000.siku za kujiandikisha 7.sijui kama tutafika

Ninachokiomba, pamoja na huo uzembe wa serikal kutojiandaa kikamilifu, watu wasije kata tamaa na kuacha kujiandkisha. Wakeshe 2 mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom