DUMEGUY JF-Expert Member Joined Aug 15, 2014 Posts 499 Reaction score 206 Jul 12, 2015 #1 Habari, Nilitaka kujua wale waliofanya kazi ya BVR operator walikua wanalipwa kiasi gani kwa siku?
MALAMSSHA JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 448 Reaction score 158 Jul 12, 2015 #2 halafu ukishajua
rasomaka Senior Member Joined Dec 26, 2013 Posts 115 Reaction score 139 Jul 12, 2015 #3 Hivi Toyota Wish ya 2006 ushuru wake ni sh ngapi vile?
DUMEGUY JF-Expert Member Joined Aug 15, 2014 Posts 499 Reaction score 206 Jul 12, 2015 Thread starter #4 Naitaji kujua coz nina Mdogo wangu nafikiria apigi hii ishu au akaendelee na kazi nyingine mkoa
DUMEGUY JF-Expert Member Joined Aug 15, 2014 Posts 499 Reaction score 206 Jul 13, 2015 Thread starter #6 bro mbona unanitusi, kwani mimi kosa langu nini kuuliza alafu fungua thread yako ndo uite watu mafukunyunyu, achaujinga wewe.
bro mbona unanitusi, kwani mimi kosa langu nini kuuliza alafu fungua thread yako ndo uite watu mafukunyunyu, achaujinga wewe.
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,113 Reaction score 18,742 Jul 13, 2015 #7 DUMEGUY said: Naitaji kujua coz nina Mdogo wangu nafikiria apigi hii ishu au akaendelee na kazi nyingine mkoa Click to expand... wala si mdogo wako! ni wewe mwenyewe!!
DUMEGUY said: Naitaji kujua coz nina Mdogo wangu nafikiria apigi hii ishu au akaendelee na kazi nyingine mkoa Click to expand... wala si mdogo wako! ni wewe mwenyewe!!
Jaslaws JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 6,016 Reaction score 5,301 Jul 13, 2015 #8 jf kuna watu sijui hawana kazi sijui umbea hauwezi kuelewa,mtu kauliza swali liko clear tu,majibu yanashangaza sana...utoto ni mwingi.!!
jf kuna watu sijui hawana kazi sijui umbea hauwezi kuelewa,mtu kauliza swali liko clear tu,majibu yanashangaza sana...utoto ni mwingi.!!
M mafuru JF-Expert Member Joined May 26, 2014 Posts 379 Reaction score 38 Jul 13, 2015 #9 Morogoro wote Bvr operator pamoja na mwandishi msaidizi wanapiga 25,000pd na siku ya seminar walipikiwa chakula kabisa kwa siku mbili Na seminar ilikuwa kwa siku mbili na kila siku walilipwa tsh. 25,000pd Vipi mkuu umenisoma
Morogoro wote Bvr operator pamoja na mwandishi msaidizi wanapiga 25,000pd na siku ya seminar walipikiwa chakula kabisa kwa siku mbili Na seminar ilikuwa kwa siku mbili na kila siku walilipwa tsh. 25,000pd Vipi mkuu umenisoma
M mafuru JF-Expert Member Joined May 26, 2014 Posts 379 Reaction score 38 Jul 13, 2015 #10 Tatizo watu hawako serious na system I don't know why???