madiwani wenyewe wa Kilosa washajikatia tamaa kabisaaa,haya watendaj wameamua kuwa wapigaj,leo hii wilaya kibao zinasonga mbele yaan kilosa inashuka tu,jamani inashangaza sana,Ndivyo walivyo kilosa kila kitu uwanajfanya wajua kuchakachua
Tupe fununu morogoro mjini utaratibu ukoje!?
Mimi nimeshangaa kuona laptop wanayotumia ni aina ya Accer na siku zote tumeaminishwa kuwa computer kwa ajir ya matumiz ya serikal ni Dell, Hp companq au Toshiba.